High perfomance cars!

Ule Moto kuna vifaa Fulani wanaunganisha Ila kwangu napenda Sana Subaru walizofunga BLOW OFF VALVE (BOF) au Kwa Jina lingine wanaita dump valve
Yeah BOV naijua mm inanifurahisha pale unavovuta wese inakuwa inatoa pressure inalia pssipsisssssss! Inakuwa inahamasisha mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usilete dharau kwa Mjapan, ana vyuma vya maan sema mchawi limit ua 180 tu. Siku ukiendesha mashine yenye 3GR tu iwe Crown au Mark X ndio utaelewa kuwa mjepu sio kitoto. Hio gti haifiki hata 250HP tena latest ya 2021 ina 228HP. Haiwez gusa mziki wa 3GR-FSE
 
Kwanini ngoma nyingi za Mjepu zina limit ya 180 km/h?
 
Wakuu mmeivaa sana, naona Subaru forester sti SG9 speed limit ni 240km/h

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota GR Yaris fucks that shit on a daily😁
Sio kwa Mercedes mazee na zimetengezwa wanaita kujamba hapo Commisioner street Johannesburg pana mataa zaidi ya saba likiwashwa moja mtu anataka ayamalize yote hayo magari yanamaliza mimi siangalii U tube zipo Jozi hata hizo unazosema..gari inajamba kama boda boda za bongo kutoka kiwandani ni nzinto na zina balance ya hatari Mercedes wanatoa gari za kumwaga sasa hivi kutokana na mahitaji ya wahuni kwa hiyo wanatoa kweli...hata majambazi wanatumia hizo sio Toyota eti waibe Free way watakamatwa..
 
Ile video ya 3GR inachapwa na GTi haujawahi kuiona? tena crown ilikuwa speed 180 lkn ikaja kupigwa na mnyama GTi.
Ingawa siwezi kuiponda crown au mark x Ila wajerumani ndugu yangu achana nao kwenye performance
 
Nimekaa hapa, siku ntakapopata mark x yenye 260kph nitakuita uje na Mk8 ya 2021 kisha nikuoneshe kazi! Trust me limiter ni kikwazo pekee ila nje ya 180kph amna cha gti wala ushuzi
 
Nimekaa hapa, siku ntakapopata mark x yenye 260kph nitakuita uje na Mk8 ya 2021 kisha nikuoneshe kazi! Trust me limiter ni kikwazo pekee ila nje ya 180kph amna cha gti wala ushuzi
Kuna jamaa yangu nipo nae hapa kariakoo alikuwa na crown athlete ameuza na kununua BMW 320i mwezi uliopita nilikuwa naongea nae kuhusu performance ameonaje gari zote mbili akaniambia BMW ameikubali Sana alafu ni nzito inakamata barabara...
Nimeshindwa kupata jibu ingawa pengine ni sifa za vijana wanapenda gari za kijerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…