Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Hujui kutumia overdrive boss au?!Hiyo Subaru forester yenye turbo nilitaka kununua mwaka juzi Ila baadae nikabadilisha maamuzi nikavuta rumion Ila sometimes najilaumu kwanini niliogopa kuchukua hiyo ndinga... nimeshawah kuendesha kidogo Toka chamazi Hadi tegeta nimeipenda Sana hiyo chuma..
Tatizo la gari zetu za Japan ni 4 speed transmission ndiyo maana tukikutana na akina Volkswagen golf GTi tunaishia kuisoma namba Tu maana hii ndinga hata uwe na crown utakalishwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app