High perfomance cars!

High perfomance cars!

Engineering ya mjerumani iko juu siwezi pinga ila sio kwamba kila gari ya mjerumani iko juu kwa perfomance. Jana nimeona BMW 3 series mtu ameibonyeza we ila sijaona mwendo wa kutisha
Ujerumani BMW ni gari imetulia labda umeona model za zamani hv x3 model kuanzia 2011 shape mpya ni shida. Kwanza kuna X5 na x7 ***** hivyo vyuma ni hatare yani sijui GX au VX zikasome. Halafu wana ix7 electric ***** kwanza zinalia kama kinanda au mluzi hizo SUV ni shida sana.

Naongea hv kwasababu nipo Bavaria penyewe na kiwanda chao kimoja kipo landshut
 
Sawa sawa mkuu mi siwezi bishana na watu wa kiwandani, huku sio competition kubwa ni ya 2006-2012 cars
 
Ila gari za Mjerumani ni balaa benz kwanza tech yake ni miaka 7 mbele ya Toyota ila hapa Ujerumani vyuma ni porche, bmw na benz. Magari mengine hata wazungu wanasema hayana bei so huwezi vimba [emoji23][emoji23][emoji23]kuna mzungu mi nilimuonye chev nzuri akasema ila bei yake sio kubwa [emoji23][emoji23] nikajua nipo ulingo wa mandonga
 
Ni kweli mkuu ziko njema ila wabongo hatuziwezi
 
Ushaendesha hiki chuma?
images-999.jpg
 
Kwani hao wakina Jason hizo 320km/h hua wanaendeshea barabara za nchi gani mkuu?
Kama una namba yake muulize ananifahamu mwambie yule mwamba wa audi Q 7 pana siku mlikamatana bara bara ya East Africa kutokea maeneo makutano ya kwa mromboo nilipopaki gari mbele ya kiseriani alikuja kuuliza..na ile ilikua kubwa niwe kwenye vidogo hivi si asingeniona kabisa...miaka ya nyuma tulikua tunatembea kuwahi pantoni lisifungwe kazungura kama Km 900 kutoka mpaka wa SA na tunawahi mazee ili mtu ulale Livingstone baadae wakaweka gate Fransistown kutuchelewesha maana ukikutana na fine za tochi kule mwisho unalipa unatoka wakaja na mguu fine nyingi kwa siku moja unaenda kulipia mahakamani ndio ukawa mwisho wa racing ukipita Gabs na tukaanza kupita shortcut moja ambayo inafupisha safari na unawahi kutoboa kazungula..
 
Ivi ma Q7 nayo yanatembea eeh ? Huwa naona makubwa sana
 
Ujerumani BMW ni gari imetulia labda umeona model za zamani hv x3 model kuanzia 2011 shape mpya ni shida. Kwanza kuna X5 na x7 ***** hivyo vyuma ni hatare yani sijui GX au VX zikasome. Halafu wana ix7 electric ***** kwanza zinalia kama kinanda au mluzi hizo SUV ni shida sana.

Naongea hv kwasababu nipo Bavaria penyewe na kiwanda chao kimoja kipo landshut
Kuna X3 na 3 Series, jamaa kaongelea 3 Series.
 
Mkuu usilete dharau kwa Mjapan, ana vyuma vya maan sema mchawi limit ua 180 tu. Siku ukiendesha mashine yenye 3GR tu iwe Crown au Mark X ndio utaelewa kuwa mjepu sio kitoto. Hio gti haifiki hata 250HP tena latest ya 2021 ina 228HP. Haiwez gusa mziki wa 3GR-FSE
😄😄we jamaa nayakubali sana mabandiko yako ya TOYOTA unayatetea kinyama na hamna wa kukunyamazisha, waache dharau kwa Toyota bhana
 
Back
Top Bottom