vanus
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 1,151
- 2,896
- Thread starter
- #21
Weka ka picha mkuu hii siijuiThe Mercedes Benz Hatchback...
Vw GTI 8 series 222 Kw sijui kama zipo gari zitafata hapo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ka picha mkuu hii siijuiThe Mercedes Benz Hatchback...
Vw GTI 8 series 222 Kw sijui kama zipo gari zitafata hapo...
Yeah BOV naijua mm inanifurahisha pale unavovuta wese inakuwa inatoa pressure inalia pssipsisssssss! Inakuwa inahamasisha mnoUle Moto kuna vifaa Fulani wanaunganisha Ila kwangu napenda Sana Subaru walizofunga BLOW OFF VALVE (BOF) au Kwa Jina lingine wanaita dump valve
Umelewa ndg?Kwenye hiyo list hakuna gari jnayoifikia mistubishi Evo huo ni moto
Mkuu usilete dharau kwa Mjapan, ana vyuma vya maan sema mchawi limit ua 180 tu. Siku ukiendesha mashine yenye 3GR tu iwe Crown au Mark X ndio utaelewa kuwa mjepu sio kitoto. Hio gti haifiki hata 250HP tena latest ya 2021 ina 228HP. Haiwez gusa mziki wa 3GR-FSEHiyo Subaru forester yenye turbo nilitaka kununua mwaka juzi Ila baadae nikabadilisha maamuzi nikavuta rumion Ila sometimes najilaumu kwanini niliogopa kuchukua hiyo ndinga... nimeshawah kuendesha kidogo Toka chamazi Hadi tegeta nimeipenda Sana hiyo chuma..
Tatizo la gari zetu za Japan ni 4 speed transmission ndiyo maana tukikutana na akina Volkswagen golf GTi tunaishia kuisoma namba Tu maana hii ndinga hata uwe na crown utakalishwa tu
Toyota GR Yaris fucks that shit on a daily😁The Mercedes Benz Hatchback...
Vw GTI 8 series 222 Kw sijui kama zipo gari zitafata hapo...
Kwanini ngoma nyingi za Mjepu zina limit ya 180 km/h?Mkuu usilete dharau kwa Mjapan, ana vyuma vya maan sema mchawi limit ua 180 tu. Siku ukiendesha mashine yenye 3GR tu iwe Crown au Mark X ndio utaelewa kuwa mjepu sio kitoto. Hio gti haifiki hata 250HP tena latest ya 2021 ina 228HP. Haiwez gusa mziki wa 3GR-FSE
Ni sheria za barabara Japan haziruhusu above 180kphKwanini ngoma nyingi za Mjepu zina limit ya 180 km/h?
Wakuu mmeivaa sana, naona Subaru forester sti SG9 speed limit ni 240km/hMkuu usilete dharau kwa Mjapan, ana vyuma vya maan sema mchawi limit ua 180 tu. Siku ukiendesha mashine yenye 3GR tu iwe Crown au Mark X ndio utaelewa kuwa mjepu sio kitoto. Hio gti haifiki hata 250HP tena latest ya 2021 ina 228HP. Haiwez gusa mziki wa 3GR-FSE
Gentleman Agreement.Kwanini ngoma nyingi za Mjepu zina limit ya 180 km/h?
Nilishaendesha 2002 Impreza wrx yenye top speed ya 260km/h.Wakuu mmeivaa sana, naona Subaru forester sti SG9 speed limit ni 240km/h
Sent using Jamii Forums mobile app
Imprezza wrx sti au sio?Nilishaendesha 2002 Impreza wrx yenye top speed ya 260km/h.
Nb:Niligongea tu kutoa gundu.
Sio kwa Mercedes mazee na zimetengezwa wanaita kujamba hapo Commisioner street Johannesburg pana mataa zaidi ya saba likiwashwa moja mtu anataka ayamalize yote hayo magari yanamaliza mimi siangalii U tube zipo Jozi hata hizo unazosema..gari inajamba kama boda boda za bongo kutoka kiwandani ni nzinto na zina balance ya hatari Mercedes wanatoa gari za kumwaga sasa hivi kutokana na mahitaji ya wahuni kwa hiyo wanatoa kweli...hata majambazi wanatumia hizo sio Toyota eti waibe Free way watakamatwa..Toyota GR Yaris fucks that shit on a daily😁
Yes STI boss.
Ile video ya 3GR inachapwa na GTi haujawahi kuiona? tena crown ilikuwa speed 180 lkn ikaja kupigwa na mnyama GTi.Mkuu usilete dharau kwa Mjapan, ana vyuma vya maan sema mchawi limit ua 180 tu. Siku ukiendesha mashine yenye 3GR tu iwe Crown au Mark X ndio utaelewa kuwa mjepu sio kitoto. Hio gti haifiki hata 250HP tena latest ya 2021 ina 228HP. Haiwez gusa mziki wa 3GR-FSE
Nimekaa hapa, siku ntakapopata mark x yenye 260kph nitakuita uje na Mk8 ya 2021 kisha nikuoneshe kazi! Trust me limiter ni kikwazo pekee ila nje ya 180kph amna cha gti wala ushuziIle video ya 3GR inachapwa na GTi haujawahi kuiona? tena crown ilikuwa speed 180 lkn ikaja kupigwa na mnyama GTi.
Ingawa siwezi kuiponda crown au mark x Ila wajerumani ndugu yangu achana nao kwenye performance
Kuna jamaa yangu nipo nae hapa kariakoo alikuwa na crown athlete ameuza na kununua BMW 320i mwezi uliopita nilikuwa naongea nae kuhusu performance ameonaje gari zote mbili akaniambia BMW ameikubali Sana alafu ni nzito inakamata barabara...Nimekaa hapa, siku ntakapopata mark x yenye 260kph nitakuita uje na Mk8 ya 2021 kisha nikuoneshe kazi! Trust me limiter ni kikwazo pekee ila nje ya 180kph amna cha gti wala ushuzi
hahahaha gari za Mjapan zikifika 120 tu zinaanza tetema kama zina kideli 😂😂😂Ni sheria za barabara Japan haziruhusu above 180kph