High perfomance cars!

Hujui kutumia overdrive boss au?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa hapa, siku ntakapopata mark x yenye 260kph nitakuita uje na Mk8 ya 2021 kisha nikuoneshe kazi! Trust me limiter ni kikwazo pekee ila nje ya 180kph amna cha gti wala ushuzi
Mkuu pana jamaa angu aliwa sema anataka gari za kwenda Durban lazima aondoke maana alikua anawahi mnada asubuhi kule nikampeleka sehemu tukakutana na Gti nikashukuru kwa kuwa atawahi kufika alipopanda baadae alizima simu jinsi vijana wanavyotembea na moto alivyowasha simu mji mmoja karibu na Durban akaamua kuachia gari na nauli aliacha maana pale alikua anapata shuttle kutokea pale mazee wale wahuni kwa zile bara bara pana gari zinatembea...
 
Hujui kutumia overdrive boss au?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama utatumia overdrive lakini bado Tu Kwa gari zetu za Japan itaenda kwenye speed limit ya 180..Kwa mfano gari nyingi za kisasa ikiwemo rumion tunatumia SPORTS MODE hii IPO kwenye gear box za CVT, inasaidia Sana kwenye kuchanganya mapema Ila ni kawaida Sana ukilinganisha na vyuma vya kijerumani
 
Jamaa muoga sana inaonesha😁😁😁
 
😀😀😀 mtu gari inatembea hadi unaanza kuomba kila aina ya maombi na kutubia dhambi zote
 
Shida yetu bongo ni barabara aisee tofauti na nyie ambao mpo nje ya TANZANIA kuna barabara za uhakika huwa nashangaa kuona Hadi Zambia wametushinda hasa kwenye ishu za matuta barabarani
 
Kuna maajabu gani mkuu?Maana kama Germany wao Ni wazee wa kuweka ma-turbochager/supercharger kwny magari Yao tu.No rocket science kwny Hilo boss.
 
Rav 4 2012 yenye engine ya 2AZ.kwetu sisi uchumi wa kati ipo vizuri.
 
Shida yetu bongo ni barabara aisee tofauti na nyie ambao mpo nje ya TANZANIA kuna barabara za uhakika huwa nashangaa kuona Hadi Zambia wametushinda hasa kwenye ishu za matuta barabarani
Harafu hawa vijana hizo Gti wanazifunga na mitungi ya gesi gari inakua inamaliza speed ila ile unayosoma kwenye dash board sio yenyewe na ukikamatwa na gari yenye mtungi ni kosa kisheria harafu mtu anasema sijui Subaru wahuni wanakimbiza gari hawa utadhani roho zinaokotwa na mzinga wa gari zao mara nyingi haponi mtu...mimi niliwahi pitwa na Mercedes moja nikiwa na 220km/h kwenye clock harafu mtu alienipita kama mimi nimesimama ilibidi nipunguze speed ili kuona nachokisoma ni sahihi na yule muhuni kanipita vile hapo Gaborone tunaitafuta Kazungula kama 900km hivi yule jamaa alitembea ile picha haijatoka machoni mwangu ni kama mwaka wa tatu huu toka hilo tukio limetokea...
 
Ni vile tu hujakutana na wahuni hapa hapa Tz,wakina Jason wametune Gari zao(Toyota) na zikipigwa speed gun kitu inasoma 320km/h.
 
Hatari sanaa hiyoo kama umepewa lift lazima ushuke
 
Jason Frisby ana mikwaju ya hatari, Aristo, Mark x 2GR, Chaser Modelista hizo gari zote ni maangamizi😁 mzee wa Moshi chuga 20 minutes...
Ila ile Subaru unayoizungumzia inatembea mimi nilikua sijaifatilia nilikua nashangaa kwenye auction mbona wahuni wanaigombea nikaja kukuta balaa lake maeneo ya Woodmed muhuni anaitafuta Pretoria harafu anafatwa na bmw piki piki kubwa mimi nikiwaona wapo kazini nakaa lane ya wanyonge kuangalia derby yao tuu..
 
Subaru ipi hio? Nikumbushe mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…