High perfomance cars!

Hawana akili hao, gari haziwezi kuwa zinatembea kwa huo mwendo alafu mmejipanga kama nyanya barabarani, likitokea la kutokea wanaisha hapo
Yani inatakiwa mkae mita 10 pembeni. Hata dereva ikimshinda unaweza hata kuikwepa ila gari imemponyoka mwamba ikianza kuchochola inaanza kukufyeka wewe na wenzio mliosimama kwenye chaki ya njano.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahah uko sahihi, ila ukumbuke Mark 4 Supra ziko mpaka 1200HP...Hakuna cha M1 wala M8! Kipigo chake ni cha mbwa koko tu.
Gari yeyote ikiwa tunned inafika mbali sana.

Hiyo M5 inacheua mara 3 ya hiyo stock hp.

Ulinganifu sahihi ni wa stock hp.
 
Gari yeyote ikiwa tunned inafika mbali sana.

Hiyo M5 inacheua mara 3 ya hiyo stock hp.

Ulinganifu sahihi ni wa stock hp.
Stock bimmer zote zinakuwaga sio N/A so real contest ni lazima iwe na tunned Machine.

Toyota engine zao ni nzuri ila nyingi huwa wanaziacha bila tunning sababu wanaamini zinakuwa more reliable. Kama madoido ni engine chache za inline 6 ndio tunned from stock.

Bimmer wao wanatune kiwandani kabisa ili ziwe na performance kupata full potential ya engine sababu focus yao ni gari iwe kichaa.
 
VW Golf GTI anakamata wote hapo kwenye list ukiiacha Nissan GT-R
 
hahahaha gari za Mjapan zikifika 120 tu zinaanza tetema kama zina kideli ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜ถ๐Ÿคจ๐Ÿคจ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜ถ๐Ÿคจ๐Ÿคจ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ