High perfomance cars!

High perfomance cars!

Hawana akili hao, gari haziwezi kuwa zinatembea kwa huo mwendo alafu mmejipanga kama nyanya barabarani, likitokea la kutokea wanaisha hapo
Yani inatakiwa mkae mita 10 pembeni. Hata dereva ikimshinda unaweza hata kuikwepa ila gari imemponyoka mwamba ikianza kuchochola inaanza kukufyeka wewe na wenzio mliosimama kwenye chaki ya njano.😂😂😂
 
Hahah uko sahihi, ila ukumbuke Mark 4 Supra ziko mpaka 1200HP...Hakuna cha M1 wala M8! Kipigo chake ni cha mbwa koko tu.
Gari yeyote ikiwa tunned inafika mbali sana.

Hiyo M5 inacheua mara 3 ya hiyo stock hp.

Ulinganifu sahihi ni wa stock hp.
 
Gari yeyote ikiwa tunned inafika mbali sana.

Hiyo M5 inacheua mara 3 ya hiyo stock hp.

Ulinganifu sahihi ni wa stock hp.
Stock bimmer zote zinakuwaga sio N/A so real contest ni lazima iwe na tunned Machine.

Toyota engine zao ni nzuri ila nyingi huwa wanaziacha bila tunning sababu wanaamini zinakuwa more reliable. Kama madoido ni engine chache za inline 6 ndio tunned from stock.

Bimmer wao wanatune kiwandani kabisa ili ziwe na performance kupata full potential ya engine sababu focus yao ni gari iwe kichaa.
 
Wakuu kwema?

Mm ni muumini mkubwa wa haya magari ambayo yana perfomance kubwa na nzuri hapo road, pia kwa maswala ya masafa marefu

Hii ni list yangu fupi ya highly perfomance car:

1–subaru forester crossport turbo

2–mitsubishi lancer Evo

3–subaru imprezza WRX turbo

4–Nissan GT–R

Fanya kudondosha na ww list yako kali ya magari unayoyakubali
VW Golf GTI anakamata wote hapo kwenye list ukiiacha Nissan GT-R
 
hahahaha gari za Mjapan zikifika 120 tu zinaanza tetema kama zina kideli 😂😂😂
😶😶😶🤨🤨😐😐😐😐😶😶😶🤨🤨😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂
 
Back
Top Bottom