High perfomance cars!

High perfomance cars!

Mkuu usilete dharau kwa Mjapan, ana vyuma vya maan sema mchawi limit ua 180 tu. Siku ukiendesha mashine yenye 3GR tu iwe Crown au Mark X ndio utaelewa kuwa mjepu sio kitoto. Hio gti haifiki hata 250HP tena latest ya 2021 ina 228HP. Haiwez gusa mziki wa 3GR-FSE
Ipi hiyo GTI ? unazungumzi mk8 R au ipi
 
Supercharged version has more grunt. Eats that shit cake Mk8 GTI
Kwenye swala la Performance Mjapan ana mengi ya kujifunza kutoka Ulaya ( German ). unaona 3GR, kuna BMW kuanzia M1, M2, M3, M4, M5, M6, M7 na M8 mjipimie tu wenyewe hapo
 
Hahah uko sahihi, ila ukumbuke Mark 4 Supra ziko mpaka 1200HP...Hakuna cha M1 wala M8! Kipigo chake ni cha mbwa koko tu.
 
Uki ukifanyingia ongezeko la nguvu na wenzako wanafanya pia. Gari zinazotoa 1200HP nyingi wame fanya modification, zinatoa zenyewe bila makolokocje mengine ni chache sana za class ya Bugati
 
Hio ni superchargers tu, ni kama ambavyo BMW wanaweka twin turbo na superchargers.
 
Back
Top Bottom