High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

Simba halisi Ni ile iliyocheza na mtibwa morogoro si kwamba biashara wabaya Bali walitoka mchezoni mapema tu hyo ndio advantage pekee Simba walio tumia
Ndio hiyohiyo iliyobeba LIGI KUU, NGAO NA FA na itabeba tena vyote.
 
Simba wakiacha Makandokando ya Mvutano na Moo, Kishingo akaacha ubishi akawa Meneja anayeshaurika hakika itafika mbali. Lkn yule kocha mweeee, hataki ushauri na anajiona yeye ndio final an Conclusive. Unashindwaje kuchezesha washambuliaji wawili pindi unacheza na Ihefu ama Bashara?? Bado hajawa tayari kubadilika ndio maanawashambuliaji wake hawana furaha kikosini na atawavuruga soon
Kweli.. Uelewano ni mzuri sana kwenye timu, hata mimi naomba utulivu uwepo ili timu yetu ifanye mambo mazuri.
 
Simba halisi Ni ile iliyocheza na mtibwa morogoro si kwamba biashara wabaya Bali walitoka mchezoni mapema tu hyo ndio advantage pekee Simba walio tumia
sijaelewa ..yaani mbeya city alitoka kukamuliwa 4-0 na kmc nyie mkawafunga kamoja tena kafunga beki dk ya 87 zikapigwa shangwe za kufa mtu na kutuaminisha aliyepiga kona ni mchezaji hatari sana,ile mbeya city ilikuw ni team ngumu sana?
 
Anajitoa Ubongo huyo.. hajui kama Mbeya city anavuta mkia?
 
Simba wakiacha Makandokando ya Mvutano na Moo, Kishingo akaacha ubishi akawa Meneja anayeshaurika hakika itafika mbali. Lkn yule kocha mweeee, hataki ushauri na anajiona yeye ndio final an Conclusive. Unashindwaje kuchezesha washambuliaji wawili pindi unacheza na Ihefu ama Bashara?? Bado hajawa tayari kubadilika ndio maanawashambuliaji wake hawana furaha kikosini na atawavuruga soon
Coaching is philosophy. Unalijua hlo?
 
Msiwe mnatumia njia za nje ya uwanja basi kwa kuwanunua wachezaji timu pinzani wacheze chini ya kiwango
 
tarehe 18 watu watakapokula 6 msisahau hicho kisingizio oh by the way kuna kile kingine nilisahau "TEAM BADO HAIJAPATA CHEMISTRY MWALIMU ALICHELEWA KUJA,KALINYO NA YACOUBA HAWAKUCHEZA MIEZI 6 SABABU YA KORONA,MUUNGANIKO UKIKAA SAWA ITAKUWA NOMA SANA" pumbavuuuuu uto kama uto
 
Back
Top Bottom