High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

Aliwahi kusema mchambuzi mmoja na mimi nikakubaluana naye toka moyoni.
Alisema, Simba inacheza game ya show off ndio ipate matokeo halafu Yanga huwa haina jadi za show off sisi ni mipango tu ili mradi tupate matokeo ndio maana mpaka leo Young Africans ni mabingwa wa kihistoria.

Chama ni kisanga ila hayo mengine uliyoongeza unayajua mwenyewe.
Hata wewe unaweza ukawa mchambuzi tena kuliko huyo unaemsema sababu ni mswahili mwenzetu.

Nyie ni mipango tu.. mipango ipi hiyo.?? Au JAMAL MALINZI

Hako kaujumbe ka mwisho (salute).
 
Hata wewe unaweza ukawa mchambuzi tena kuliko huyo unaemsema sababu ni mswahili mwenzetu.

Nyie ni mipango tu.. mipango ipi hiyo.?? Au JAMAL MALINZI

Hako kaujumbe ka mwisho (salute).
Simba anacheza mpira wa pasi nyingi ili kupata matokeo Yanga mipango mchezoni na siyo hivyo ulivyofikiri wewe. Yan hatuchezi kama nyie sijui mpira utoke kwa kipa then beki mara midfield ndio ufike kwa wafungaji.

Yan callibre ya mpira wa Yanga siyo show off ndio nilichomaanisha Feisal anaweza akapiga ndefu ikamfikia Mukoko au Kisinda akaweka.

Umenishangaza sana mpaka leo unaamini Malinzi alikua anatubeba. Kwa iyo na sisi tuamini Karia anawabeba? Hebu badilisheni mentality bhana
 
simba chini ya mwamedi wamehonga kupta hii sifa ,dah utopolo tunaonewa sana
simba caf.JPG
 
tarehe 18 watu watakapokula 6 msisahau hicho kisingizio oh by the way kuna kile kingine nilisahau "TEAM BADO HAIJAPATA CHEMISTRY MWALIMU ALICHELEWA KUJA,KALINYO NA YACOUBA HAWAKUCHEZA MIEZI 6 SABABU YA KORONA,MUUNGANIKO UKIKAA SAWA ITAKUWA NOMA SANA" pumbavuuuuu uto kama uto
hamna timu ya kumfunga Yanga
 
Ndio anavyowadanganya Nugaz.. Endeleeni kujidokoa tu.
kwenye vpl last season nilikupiga,kwenye fa uliiona timu yangu ilivyocheza hadi kufungwa goli,m1 ya mchezaji aliekua kituko siku kwa kucheza kufuata maelekezo ya hans pope msimu huu ndio star huko kwenu,unaanzaje kubisha km morrison na wenzie walitumika siku ile kuihujumu Yanga,shishimbi nae mlishamtia mfukoni mkidai mtamsajili,akawapa goli la 3 lile,morrison siku ile alikua akabi na akipata mpira anarudi golini kwake,juma abdul na jafar nao wakawa awaeleweki,nikupe tu,ila siku wachezaji 7 wa Yanga walikua compromise na mikia,5 walianza,m1 akaingia sub m1 mchora ramani yote alikua benchi,tumepiga chini wote hao
 
metacha hakupewa fungu???hahahahaha utooo kama uto,kagera nao waliwalala 3-0 ilikuwaje?
 
Njooni na matokeo mkipate kama mlichokipata march 8,baadae ndio mkaamua kununua wachezaji waandamizi ili muifunge Yanga,maduka yote tumetimua,njooni na matokeo ili mng'oe viti,morrison,juma,shishimbi n.k hao ndio mliowatumia game iliopita tumetimua wote
Simba tunacheza mpira wa kisasa uwanjani nyie utopolo mpira wenu mnachezea mdomoni tena mkilalamika.Kama mawazo yenu ndio hayo mna safari ndefu sana.Ongea mpira mkuu,visingizio havichezi mpira
 
Back
Top Bottom