Kweli.. Uelewano ni mzuri sana kwenye timu, hata mimi naomba utulivu uwepo ili timu yetu ifanye mambo mazuri.Simba wakiacha Makandokando ya Mvutano na Moo, Kishingo akaacha ubishi akawa Meneja anayeshaurika hakika itafika mbali. Lkn yule kocha mweeee, hataki ushauri na anajiona yeye ndio final an Conclusive. Unashindwaje kuchezesha washambuliaji wawili pindi unacheza na Ihefu ama Bashara?? Bado hajawa tayari kubadilika ndio maanawashambuliaji wake hawana furaha kikosini na atawavuruga soon
Yanga alikula 4 ujueKelele nyingi timu mliyoishinda ni Biashara. Mtibwa alivyokukamueni mavi mlikaa kimya, nyambafu.
sijaelewa ..yaani mbeya city alitoka kukamuliwa 4-0 na kmc nyie mkawafunga kamoja tena kafunga beki dk ya 87 zikapigwa shangwe za kufa mtu na kutuaminisha aliyepiga kona ni mchezaji hatari sana,ile mbeya city ilikuw ni team ngumu sana?Simba halisi Ni ile iliyocheza na mtibwa morogoro si kwamba biashara wabaya Bali walitoka mchezoni mapema tu hyo ndio advantage pekee Simba walio tumia
Anajitoa Ubongo huyo.. hajui kama Mbeya city anavuta mkia?sijaelewa ..yaani mbeya city alitoka kukamuliwa 4-0 na kmc nyie mkawafunga kamoja tena kafunga beki dk ya 87 zikapigwa shangwe za kufa mtu na kutuaminisha aliyepiga kona ni mchezaji hatari sana,ile mbeya city ilikuw ni team ngumu sana?
Basi acha kujidhalilisha mkuu.....Nani anahitaji kukujibu.na uelewa wako mdogo.Au kwako chuo ni magorofa,yaweza kuwa uko sahihi.
SawaBenard Morrison anajua maana yake.
Simba 4 - 1 Yanga na Simba 4 - 0 Biashara kuna tofauti gani?Kelele nyingi timu mliyoishinda ni Biashara. Mtibwa alivyokukamueni mavi mlikaa kimya, nyambafu.
Coaching is philosophy. Unalijua hlo?Simba wakiacha Makandokando ya Mvutano na Moo, Kishingo akaacha ubishi akawa Meneja anayeshaurika hakika itafika mbali. Lkn yule kocha mweeee, hataki ushauri na anajiona yeye ndio final an Conclusive. Unashindwaje kuchezesha washambuliaji wawili pindi unacheza na Ihefu ama Bashara?? Bado hajawa tayari kubadilika ndio maanawashambuliaji wake hawana furaha kikosini na atawavuruga soon
tarehe 18 watu watakapokula 6 msisahau hicho kisingizio oh by the way kuna kile kingine nilisahau "TEAM BADO HAIJAPATA CHEMISTRY MWALIMU ALICHELEWA KUJA,KALINYO NA YACOUBA HAWAKUCHEZA MIEZI 6 SABABU YA KORONA,MUUNGANIKO UKIKAA SAWA ITAKUWA NOMA SANA" pumbavuuuuu uto kama utoMsiwe mnatumia njia za nje ya uwanja basi kwa kuwanunua wachezaji timu pinzani wacheze chini ya kiwango
Jibu swali basi kwako ww chuo ni mahali,hali,au ni kitu gani.mm nmesema simba ni chuo cha mpira hapa bongo.Kama huna majibu ya kueleza nilipokosea kwa kusema simba ni chuo,basi wewe ni mpumbavu.Basi acha kujidhalilisha mkuu.....