Hata wewe unaweza ukawa mchambuzi tena kuliko huyo unaemsema sababu ni mswahili mwenzetu.Aliwahi kusema mchambuzi mmoja na mimi nikakubaluana naye toka moyoni.
Alisema, Simba inacheza game ya show off ndio ipate matokeo halafu Yanga huwa haina jadi za show off sisi ni mipango tu ili mradi tupate matokeo ndio maana mpaka leo Young Africans ni mabingwa wa kihistoria.
Chama ni kisanga ila hayo mengine uliyoongeza unayajua mwenyewe.
Simba anacheza mpira wa pasi nyingi ili kupata matokeo Yanga mipango mchezoni na siyo hivyo ulivyofikiri wewe. Yan hatuchezi kama nyie sijui mpira utoke kwa kipa then beki mara midfield ndio ufike kwa wafungaji.Hata wewe unaweza ukawa mchambuzi tena kuliko huyo unaemsema sababu ni mswahili mwenzetu.
Nyie ni mipango tu.. mipango ipi hiyo.?? Au JAMAL MALINZI
Hako kaujumbe ka mwisho (salute).
hamna timu ya kumfunga Yangatarehe 18 watu watakapokula 6 msisahau hicho kisingizio oh by the way kuna kile kingine nilisahau "TEAM BADO HAIJAPATA CHEMISTRY MWALIMU ALICHELEWA KUJA,KALINYO NA YACOUBA HAWAKUCHEZA MIEZI 6 SABABU YA KORONA,MUUNGANIKO UKIKAA SAWA ITAKUWA NOMA SANA" pumbavuuuuu uto kama uto
uto kama utohamna timu ya kumfunga Yanga
Mbu3 kama mbu3uto kama uto
kwenye vpl last season nilikupiga,kwenye fa uliiona timu yangu ilivyocheza hadi kufungwa goli,m1 ya mchezaji aliekua kituko siku kwa kucheza kufuata maelekezo ya hans pope msimu huu ndio star huko kwenu,unaanzaje kubisha km morrison na wenzie walitumika siku ile kuihujumu Yanga,shishimbi nae mlishamtia mfukoni mkidai mtamsajili,akawapa goli la 3 lile,morrison siku ile alikua akabi na akipata mpira anarudi golini kwake,juma abdul na jafar nao wakawa awaeleweki,nikupe tu,ila siku wachezaji 7 wa Yanga walikua compromise na mikia,5 walianza,m1 akaingia sub m1 mchora ramani yote alikua benchi,tumepiga chini wote haoNdio anavyowadanganya Nugaz.. Endeleeni kujidokoa tu.
Klabu bingwa hamna tigo pesa kule,watapigwa 5-5 kama kawaida yaoNgoja tuyaone kwenye klabu bingwa
metacha hakupewa fungu???hahahahaha utooo kama uto,kagera nao waliwalala 3-0 ilikuwaje?kwenye vpl last season nilikupiga,kwenye fa uliiona timu yangu ilivyocheza hadi kufungwa goli,m1 ya mchezaji aliekua kituko siku kwa kucheza kufuata maelekezo ya hans pope msimu huu ndio star huko kwenu,unaanzaje kubisha km morrison na wenzie walitumika siku ile kuihujumu Yanga,shishimbi nae mlishamtia mfukoni mkidai mtamsajili,akawapa goli la 3 lile,morrison siku ile alikua akabi na akipata mpira anarudi golini kwake,juma abdul na jafar nao wakawa awaeleweki,nikupe tu,ila siku wachezaji 7 wa Yanga walikua compromise na mikia,5 walianza,m1 akaingia sub m1 mchora ramani yote alikua benchi,tumepiga chini wote hao
Rage akukosea kuwaita mbu3metacha hakupewa fungu???hahahahaha utooo kama uto,kagera nao waliwalala 3-0 ilikuwaje?
Rage akukosea kuwaita mbu3metacha hakupewa fungu???hahahahaha utooo kama uto,kagera nao waliwalala 3-0 ilikuwaje?
Uwezekano mkubwa ile kauli ya Eymael ilikulenga wewebsijui ndio unajifunza kushangilia mpiraRage akukosea kuwaita mbu3
Simba tunacheza mpira wa kisasa uwanjani nyie utopolo mpira wenu mnachezea mdomoni tena mkilalamika.Kama mawazo yenu ndio hayo mna safari ndefu sana.Ongea mpira mkuu,visingizio havichezi mpiraNjooni na matokeo mkipate kama mlichokipata march 8,baadae ndio mkaamua kununua wachezaji waandamizi ili muifunge Yanga,maduka yote tumetimua,njooni na matokeo ili mng'oe viti,morrison,juma,shishimbi n.k hao ndio mliowatumia game iliopita tumetimua wote
Vpl last season mnyero mlitufunga ngapi?Tutawafunga na ubingwa tunabeba Uto nyie.
Mbona huitaji iliyowapiga 4g ilikuwa halisi au fekiSimba halisi Ni ile iliyocheza na mtibwa morogoro si kwamba biashara wabaya Bali walitoka mchezoni mapema tu hyo ndio advantage pekee Simba walio tumia