High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

Akiliangalia hili kosi la Wanalunyasi lilivyoenea basi hatamani kabisa ifike October 18í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Hawezi kutamani, ukizingatia pale kwao kuna mchezaji mmoja bado hajawasili kujiunga na timu..

Kuna mchezaji anaitwa "Muunganiko" sijui anatoka nchi gani huyu eti bado hajafika.
 
Tarehe 18 mbumbumbu fc mnaenda kukeketwa bila ganzi. Safarihii hampati ata pointi moja. Tunakwenda kufunga kidomodomo.
 
Mimi ni Yanga ila kusema ukweli Simba wakicheza uwanja mzuri wapo vizuri sana. Tena sana. Kwa aina yao ya uchezaji viwanja vya mikoani vinawapa shida sana kama ni vibovu.
Simba halisi Ni ile iliyocheza na mtibwa morogoro si kwamba biashara wabaya Bali walitoka mchezoni mapema tu hyo ndio advantage pekee Simba walio tumia
 
Mimi ni Yanga ila kusema ukweli Simba wakicheza uwanja mzuri wapo vizuri sana. Tena sana. Kwa aina yao ya uchezaji viwanja vya mikoani vinawapa shida sana kama ni vibovu.
Mkuu kwa viwanja vya mpira vya east,west and central of Africa vyote vinafanana hakuna mchezaji alietokea katika pitch nzuri weng kiwanja kimoja kizuri kingne tia maji tia maji tu
 
Mimi ni Yanga ila kusema ukweli Simba wakicheza uwanja mzuri wapo vizuri sana. Tena sana. Kwa aina yao ya uchezaji viwanja vya mikoani vinawapa shida sana kama ni vibovu.
Kweli.. hivyo viwanja vinapoteza mvuto wa soka
 
Timu ya Simba imetoa wachezaji 7 walioitwa timu ya Taifa (Taifa stars)

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Jonas Mkude
5. Said Ndemla
6. Mzamiru Yassin
7. John Bocco
 
Tarehe 18 mbumbumbu fc mnaenda kukeketwa bila ganzi. Safarihii hampati ata pointi moja. Tunakwenda kufunga kidomodomo.
Endeleeni kulalamikia yasiyowahusu... Bernard Morrison mtaendelea kumuona kwenye video akiwa Simba.
 
Back
Top Bottom