Hawezi kutamani, ukizingatia pale kwao kuna mchezaji mmoja bado hajawasili kujiunga na timu..Akiliangalia hili kosi la Wanalunyasi lilivyoenea basi hatamani kabisa ifike October 18í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Na muda si mrefu watamfurusha kocha wao mzungu😀Hawezi kutamani, ukizingatia pale kwao kuna mchezaji mmoja bado hajawasili kujiunga na timu..
Kuna mchezaji anaitwa "Muunganiko" sijui anatoka nchi gani huyu eti bado hajafika.
Simba halisi Ni ile iliyocheza na mtibwa morogoro si kwamba biashara wabaya Bali walitoka mchezoni mapema tu hyo ndio advantage pekee Simba walio tumia
Mkuu kwa viwanja vya mpira vya east,west and central of Africa vyote vinafanana hakuna mchezaji alietokea katika pitch nzuri weng kiwanja kimoja kizuri kingne tia maji tia maji tuMimi ni Yanga ila kusema ukweli Simba wakicheza uwanja mzuri wapo vizuri sana. Tena sana. Kwa aina yao ya uchezaji viwanja vya mikoani vinawapa shida sana kama ni vibovu.