High quality ya Wachezaji ipo Simba SC

Biashara Simba B tu..Lile libeki lao linapasia adui..ukimuona Chama anacheza sana jua mechi ya mipango..derby mbili za VPL msimu uliopita alifanya nini..FA mipango kashine...mechi zote za away CAF anaboronga ukitoa ile ya wale maiti kutoka Uswatini..
Usisahau pia ile siku anawakamua mavi utopolo na kumvunja nyonga captain wenu Tshishimbi.
 
Chris Mugalu Mnyama Rafiki wa Nyavu
 
Hivi hawa Mbumbumbu SC wapo nafasi gani kwenye msimamo wa ligi?
 
Pasi za magoli..
Magoli yenyewe..
Ufundi sasa ndio usiseme umejaa SSC
 
Thadeo LWANGA
Mng'oa Fyuzi huyu ambae amechukua nafasi ya Mbrazil.

ASANTE na pole kwa majeruhi GERSON FRAGA VIERA.
 
Chama mwamba wa Lusaka THE MVP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…