Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau pia ile siku anawakamua mavi utopolo na kumvunja nyonga captain wenu Tshishimbi.Biashara Simba B tu..Lile libeki lao linapasia adui..ukimuona Chama anacheza sana jua mechi ya mipango..derby mbili za VPL msimu uliopita alifanya nini..FA mipango kashine...mechi zote za away CAF anaboronga ukitoa ile ya wale maiti kutoka Uswatini..
Hivi hawa Mbumbumbu SC wapo nafasi gani kwenye msimamo wa ligi?Ndugu salaam....
Katika mambo ambayo mchezaji Benard Morrison aliyasema kuwa "Simba ni chuo cha soka" kweli nimekubali.
Ebu mtazame Cloutas Chota Chama "Mwamba wa Lusaka THE MVP unapata wapi kipaji kama hiki ndani ya Ligi kuu Tanzania... Huyu ndie MCHEZAJI BORA MPAKA SASA HAPA NCHINI.
>Huyu ndie aliipeleka Simba Makundi ya CAF NA ndie aliwavusha kwenda Robo fainali CCL.
*LUIS JOZEE MIQUISSONE chinga wa msumbiji Konde BOY unapata Quality ya hv hapa Bongo, anatumia miguu yote, chenga, speed na TAKATAKA ZOTE unazipata kwa LUIS.
*MOHAMED HUSSEIN beki ya kushoto yenye vinasaba vya Winga ndani yake.
*SHOMARI KAPOMBE Kitasa cha kulia, unakabwa, unachengwa unakimbizwa anavyotaka.
*JONAS MKUDE Nungunungu BABA YA MIDIFIELDER Tanzania Yupo Simba utataja nani tena.
*RALLY BWALYA The Locomotive Left Footer Super Maestro... sasa huyu mtazame kwa macho yote na miwani juu ni hatari kirusi nyuma.
*BENARD MORRISON speed 120 Yenye malengo sio wale wanaokimbia bila Uelekeo.
MANULA, WAWA, FRAGA, KAGERE