Highest government debt as share of GDP, 2020

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,096
Reaction score
8,234
Japan 237%
Greece 177%
Lebanon 150%
Italy 135%
Singapore 126%
Portugal 117%
Angola 111%
Mozambique 109%
US 107%
Jamaica 103%
Belgium 98%
France 98%
Congo 98%
Cyprus 95%
Spain 95%
Bahrain 93%
Jordan 92%
Egypt 90%
.
.
.
Tanzania 39.15%

A public debt sustainability analysis (DSA) done by the IMF in September 2021 concluded that Tanzania's risk of external debt distress is MODERATE.

The present value of Tanzania's public debt-to-GDP ratio remains contained at around 30%, which is well below the 55% threshold.

1640753853629.png

Credits: Tanzania Business Insight
 
View attachment 2061310

Credits: Tanzania Business Insight
Mtahangaika sana maana pembe la ng'ombe daima halifichiki kamwe
 
Hivyo tuendelee kopa tu?
Cha kushangaza hizo nchi bado zinatukopesha na kutupa msaada
Kukopa hakuepukiki Chief, hakuna maendeleo ya kueleweka na ya haraka bila kukopa, na hiyo siyo kwa nchi tu, ni kuanzia level ya watu binafsi, makampuni, taasisi n.k.! Kifupi mikopo ndiyo inaendesha uchumi! Ishu inakuja hiyo hela iliyokopwa imetumika ipasavyo?
 
Wapambe ndiyo wanao faidika na hiyo mikopo
 
Kukopa hakuepukiki Chief, hakuna maendeleo ya kueleweka na ya haraka bila kukopa, na hiyo siyo kwa nchi tu, ni kuanzia level ya watu binafsi, makampuni, taasisi n.k.! Kifupi mikopo ndiyo inaendesha uchumi! Ishu inakuja hiyo hela iliyokopwa imetumika ipasavyo?
Kama Ndugaye ametilia shaka hii mikopo wewe nani hadi uikubali?
 
Mtahangaika sana maana pembe la ng'ombe daima halifichiki kamwe
Hakuna anayehangaika, and hakuna cha kuficha pia, ndiyo maana mnaambiwa tumekopa this, riba ni hii, italipwa kwa miaka kadhaa na matumizi ni yafuatayo...
 
Wewe na spika nani anajua undani wa hiyo mikopo?
 
Hivyo tuendelee kopa tu?
Cha kushangaza hizo nchi bado zinatukopesha na kutupa msaada
Tukope mpaka tuwapite Japan kwa sababu uchumi wetu na wa Japan ni sawa😂😂😂
 
Mkuu ishu ya kukopa haikwepeki popote duniani.... but the issue is tutazitumia kwenye allocation site.. kwa mfano tunakopa kwa ajili ya miradi mikubwa let say.. but tunazitumia huko au kuna wachache wanaenda kula kuku kwa mrija, ila ikija suala la kulipa ni national responsibility...
 
Japan 237%
Greece 177%
Lebanon 150%
Italy 135%
Singapore 126%
Portugal 117%
Angola 111%
Mozambique 109%
US 107%
Jamaica 103%
Belgium 98%
France 98%
Congo 98%
Cyprus 95%
Spain 95%
Bahrain 93%
Jordan 92%
Egypt 90%
.
.
.
Tanzania 39.15%

A public debt sustainability analysis (DSA) done by the IMF in September 2021 concluded that Tanzania's risk of external debt distress is MODERATE.

The present value of Tanzania's public debt-to-GDP ratio remains contained at around 30%, which is well below the 55% threshold.

View attachment 2061310

Credits: Tanzania Business Insight
Hapa kitu cha muhimu ninuwezo wa kulipa. Utakuwa mjinga hasa kuamininkuwa Tanzania ina nafasi nzuri zaidi ya kiuchumi kuliko Japan ambayo inaisaidia Tanzania na mataifa mengi Duniani.

Mtu ambaye kwa siku ana uwezo wa kuingiza milIoni 400, hata kama leo ana milioni 10, anadaiwa milioni 20, ana hali nzuri zaidi kuliko ambaye uwezo wake kwa siku ni kuingiza shilingi elfu 1, ana akiba ya sh milioni 1 ambayo laki 7 alisaidiwa na ndugu, lakini ana deni la sh laki 6.
 
Kama Ndugaye ametilia shaka hii mikopo wewe nani hadi uikubali?
Mkuu Ndugai ni mnafki sana yule mzee, hii mikopo imeanzia kwa Hayati Magufuri ila hakuwahi kusema chochote ispokuwa aliamua kuwa sehemu ya propanga kwamba Tanzania tunajenga miradi kwa pesa zetu za ndani

Lakini ukiangalia deni la taifa tangu Dec mwaka 2016 hadi Dec 2020 lilikuwa limetoka kwenye trillion 39 hadi hadi trillion 57 na hapo ni kwa muhula mmoja wa urahisi, je ingetimia mihula miwili ingekuaje?

mradi wa ujenzi wa reli tulikopa trillion 3.3 ila tukasema ni hela yetu, kabla ya Hayati Magufuri kufariki kwenye uzinduzi wa flyover alisema tumekopa pesa Japan kwa ajili ya mradi barabara ya mwendokasi kwenda Mbagala

Tangu mama Samia ameingia madarakani ye ameshakopa trillion 1.7 kama bado hajaongeza ila hizo ndio ambazo nina taarifa nazo, na mkopo wa chanjo ya COVID-19 alisamehewa, kwahiyo me nachokiona hapa, mama kinachomponza ni kutaka kuweka uwazi wa hiyo mikopo, kuna kundi kubwa la viogozi serikalini hawamuogopi kama ilivokuwa kwa Hayati Magufuri
 
Mkuu ishu ya kukopa haikwepeki popote duniani.... but the issue is tutazitumia kwenye allocation site.. kwa mfano tunakopa kwa ajili ya miradi mikubwa let say.. but tunazitumia huko au kuna wachache wanaenda kula kuku kwa mrija, ila ikija suala la kulipa ni national responsibility...
Hiyo ndiyo ishu Mkuu, kwamba hiyo mikopo inafanya nini? Na kwa nini huko nyuma ilikuwa inakopwa kimya kimya, hatuambiwi, wakati sisi ndio walipaji? Sera ya taifa ya mikopo ni vyema iangaliwe na ifanyiwe marekebisho, siyo mtu tu kutoka ikulu anajikopea kopea hovyo then tunakuja bebeshwa limzigo la trl 20 kwa miaka 5 tu
 
Hapa kitu cha muhimu ninuwezo wa kulipa. Utakuwa mjinga hasa kuamininkuwa Tanzania ina nafasi nzuri zaidi ya kiuchumi kuliko Japan ambayo inaisaidia Tanzania na mataifa mengi Duniani.

Mtu ambaye kwa siku ana uwezo wa kuingiza milIoni 400, hata kama leo ana milioni 10, anadaiwa milioni 20, ana hali nzuri zaidi kuliko ambaye uwezo wake kwa siku ni kuingiza shilingi elfu 1, ana akiba ya sh milioni 1 ambayo laki 7 alisaidiwa na ndugu, lakini ana deni la sh laki 6.
Hiyo kitu ni relative Chief! Haijalishi Japan anasaidia nani, akiambiwa ndani ya miaka 20 alipe hilo deni hawezi!! Mo Dewji leo hii anaipa Simba bil 20, ila akiambiwa alipe deni lake lote analodaiwa ndani ya miaka 10 pia hawezi! Utajiri na madeni ni relative not absolute
 
Back
Top Bottom