Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Mtahangaika sana maana pembe la ng'ombe daima halifichiki kamweJapan 237%
Greece 177%
Lebanon 150%
Italy 135%
Singapore 126%
Portugal 117%
Angola 111%
Mozambique 109%
US 107%
Jamaica 103%
Belgium 98%
France 98%
Congo 98%
Cyprus 95%
Spain 95%
Bahrain 93%
Jordan 92%
Egypt 90%
.
.
.
Tanzania 39.15%
A public debt sustainability analysis (DSA) done by the IMF in September 2021 concluded that Tanzania's risk of external debt distress is MODERATE.
The present value of Tanzania's public debt-to-GDP ratio remains contained at around 30%, which is well below the 55% threshold.
View attachment 2061310
Credits: Tanzania Business Insight
Kukopa hakuepukiki Chief, hakuna maendeleo ya kueleweka na ya haraka bila kukopa, na hiyo siyo kwa nchi tu, ni kuanzia level ya watu binafsi, makampuni, taasisi n.k.! Kifupi mikopo ndiyo inaendesha uchumi! Ishu inakuja hiyo hela iliyokopwa imetumika ipasavyo?Hivyo tuendelee kopa tu?
Cha kushangaza hizo nchi bado zinatukopesha na kutupa msaada
Kama Ndugaye ametilia shaka hii mikopo wewe nani hadi uikubali?Kukopa hakuepukiki Chief, hakuna maendeleo ya kueleweka na ya haraka bila kukopa, na hiyo siyo kwa nchi tu, ni kuanzia level ya watu binafsi, makampuni, taasisi n.k.! Kifupi mikopo ndiyo inaendesha uchumi! Ishu inakuja hiyo hela iliyokopwa imetumika ipasavyo?
Hakuna anayehangaika, and hakuna cha kuficha pia, ndiyo maana mnaambiwa tumekopa this, riba ni hii, italipwa kwa miaka kadhaa na matumizi ni yafuatayo...Mtahangaika sana maana pembe la ng'ombe daima halifichiki kamwe
Kwa hiyo chochote anachosema Ndugai kwako wewe ni ukweli 100%?Kama Ndugaye ametilia shaka hii mikopo wewe nani hadi uikubali?
Wewe na spika nani anajua undani wa hiyo mikopo?Hakuna anayehangaika, and hakuna cha kuficha pia, ndiyo maana mnaambiwa tumekopa this, riba ni hii, italipwa kwa miaka kadhaa na matumizi ni yafuatayo...
Nazungumzia alichosema jana kuhusu mikopo kuwa ni wazi kama nchi tupo hatarini kupigwa mnada.Kwa hiyo chochote anachosema Ndugai kwako wewe ni ukweli 100%?
Soma mada kuu uelewe, kama lugha tatizo tafuta mtu akutafsirieNazungumzia alichosema jana kuhusu mikopo kuwa ni wazi kama nchi tupo hatarini kupigwa mnada.
Sina mashaka na uelewa wangu mkuu bali nasimamia kwa ninacho kielewaSoma mada kuu uelewe, kama lugha tatizo tafuta mtu akutafsirie
Kukopa kopeni bora kuwe na uwazi kibaya ilikuwa watu wanakopa halafu kwenye majukwaa wanasema tunatumia fedha za ndani tembeeni vifua mbele[emoji16][emoji16]Kwa hiyo chochote anachosema Ndugai kwako wewe ni ukweli 100%?
Tukope mpaka tuwapite Japan kwa sababu uchumi wetu na wa Japan ni sawa😂😂😂Hivyo tuendelee kopa tu?
Cha kushangaza hizo nchi bado zinatukopesha na kutupa msaada
Sawa ChiefSina mashaka na uelewa wangu mkuu bali nasimamia kwa ninacho kielewa
Hapa kitu cha muhimu ninuwezo wa kulipa. Utakuwa mjinga hasa kuamininkuwa Tanzania ina nafasi nzuri zaidi ya kiuchumi kuliko Japan ambayo inaisaidia Tanzania na mataifa mengi Duniani.Japan 237%
Greece 177%
Lebanon 150%
Italy 135%
Singapore 126%
Portugal 117%
Angola 111%
Mozambique 109%
US 107%
Jamaica 103%
Belgium 98%
France 98%
Congo 98%
Cyprus 95%
Spain 95%
Bahrain 93%
Jordan 92%
Egypt 90%
.
.
.
Tanzania 39.15%
A public debt sustainability analysis (DSA) done by the IMF in September 2021 concluded that Tanzania's risk of external debt distress is MODERATE.
The present value of Tanzania's public debt-to-GDP ratio remains contained at around 30%, which is well below the 55% threshold.
View attachment 2061310
Credits: Tanzania Business Insight
Mkuu Ndugai ni mnafki sana yule mzee, hii mikopo imeanzia kwa Hayati Magufuri ila hakuwahi kusema chochote ispokuwa aliamua kuwa sehemu ya propanga kwamba Tanzania tunajenga miradi kwa pesa zetu za ndaniKama Ndugaye ametilia shaka hii mikopo wewe nani hadi uikubali?
Hiyo ndiyo ishu Mkuu, kwamba hiyo mikopo inafanya nini? Na kwa nini huko nyuma ilikuwa inakopwa kimya kimya, hatuambiwi, wakati sisi ndio walipaji? Sera ya taifa ya mikopo ni vyema iangaliwe na ifanyiwe marekebisho, siyo mtu tu kutoka ikulu anajikopea kopea hovyo then tunakuja bebeshwa limzigo la trl 20 kwa miaka 5 tuMkuu ishu ya kukopa haikwepeki popote duniani.... but the issue is tutazitumia kwenye allocation site.. kwa mfano tunakopa kwa ajili ya miradi mikubwa let say.. but tunazitumia huko au kuna wachache wanaenda kula kuku kwa mrija, ila ikija suala la kulipa ni national responsibility...
Hiyo kitu ni relative Chief! Haijalishi Japan anasaidia nani, akiambiwa ndani ya miaka 20 alipe hilo deni hawezi!! Mo Dewji leo hii anaipa Simba bil 20, ila akiambiwa alipe deni lake lote analodaiwa ndani ya miaka 10 pia hawezi! Utajiri na madeni ni relative not absoluteHapa kitu cha muhimu ninuwezo wa kulipa. Utakuwa mjinga hasa kuamininkuwa Tanzania ina nafasi nzuri zaidi ya kiuchumi kuliko Japan ambayo inaisaidia Tanzania na mataifa mengi Duniani.
Mtu ambaye kwa siku ana uwezo wa kuingiza milIoni 400, hata kama leo ana milioni 10, anadaiwa milioni 20, ana hali nzuri zaidi kuliko ambaye uwezo wake kwa siku ni kuingiza shilingi elfu 1, ana akiba ya sh milioni 1 ambayo laki 7 alisaidiwa na ndugu, lakini ana deni la sh laki 6.