Highest government debt as share of GDP, 2020

Naomba chanzo cha taarifa yako nijiridhishe hiyo trillions 18 za miaka mitano ya Magufuli
 
Naomba chanzo cha taarifa yako nijiridhishe hiyo trillions 18 za miaka mitano ya Magufuli
Usijali mkuu nitakupa tu source maana ni rahisi sana kujua deni la taifa ni ajabu kama wewe hujui, ila sidhani kama kuna ubaya endapo ukianza kunipa wewe hiyo figure ambayo umesema jakaya alikopa kiasi kikubwa kuliko Hayati Magufuri
 
Benki ya dunia,IMF , Benki ya Maendeleo ya Africa,Mfuko wa Kuwait nk,huwa inachangiwa/ kuwekezwa na mataifa/taasisi mbalimbali ,fedha zao ziada.
-Fedha hizi huwa zinakopeshwa nchi mbalimbali kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo,kwa riba ndogo Sana.
-Wabobezi(Guru's) wa masuala ya fedha na mitaji wanashauri kuwa "wekeza kwenye Miradi ya Maendeleo kwa kutumia debenture/Mikopo ya muda Mrefu na wekeza kwenye current assets kwa Mikopo ya muda mfupi/fedha zako taslim."

-Uzoefu unaonyesha kuwa, Kuna wakati Serikali inaweza kujenga hoja,ikasemehewa kulipa riba au deni lote,kama Serikali itatimiza vigezo.
-Madeni ya Serikali ya awamu ya kwanza,yalifutwa, baada ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zilizonufaika na msamaha (Hghly Indebted Third world Countries) Nchi za dunia ya tatu zenye madeni makubwa.

Ushauri
(1) Serikali iendelee kukopa mikopo yenye masharti nafuu na iwekezwe kwenye Miradi ya Maendeleo.
(2) Serikali mikopo mingine iwekezwe kwenye sekta ya kilimo Cha umwagiliaji , mifugo na uvuvi wa bahati.
 
Awamu ya pili na ya nne ndizo tulikuwa na tatizo kubwa sana la hivyo; watu wanakopa bila kuwa usimamizi mzuri wa hizo fedha, ufisadi na wizi mwingi, wanagawana pesa zote bila kufanya la maana kuiachia nchi deni kubwa.
 
Hakuna anayehangaika, and hakuna cha kuficha pia, ndiyo maana mnaambiwa tumekopa this, riba ni hii, italipwa kwa miaka kadhaa na matumizi ni yafuatayo...

Tuna shida kubwa sana kwenye area ya ukusanyaji wa mapato na udhibiti wa fedha ya umma. Mikopo inapaswa iwe supplement (sio mbadala) ya vyanzo vya ndani. Sasa hivi pale Bandari pameshakuwa shamba la bibi once again! Vilevile, haiwezekani tukawa tunagawa hundreds of million of cash kwenye kila halmashauri, kwa mfano, bila ya kuwa na mipango na control mechanisms za kueleweka. At the end of the day, tutakuwa kama watu tunaojaribu kujaza maji kwenye pipa ambalo linavujisha maji at an alarming rate. Let’s not shortchange the future generations by recklessly pushing the public debt to an unsustainable level!
 
Hili la bandarini, what is your source?
 
Umezingua

Soon tutakopa kulipa madeni

Namba hazidanganyi

Let say kwa mwezi tunakusanya tr 1.4 ambayo ni nadra kuipata

Kwa mwaka tutakua na tr 16.

Kwa mujibu wa Ndungai spika kila mwaka tunalipa tr 10 kuhudumia madeni

Kwa hiyo tunabaki na tr 6

Tr 6 gawanya kwa 12 inakuja kama Bil 500

Wote tunajua mishahara tuu inakaribia kwenye bil 500..

Kwa hiyo siku si nyingi tutakopa au tutatumia pesa za misaada kulipa madeni.
 
Pumba tupu, it seems hujui mengi kuhusu uchumi
 

Let’s be real here! Tusipende sana kujilinganisha na wengine, kwasababu hatujui accountability systems zao zikoje. Tunajua hapa kwetu sehemu kubwa ya pesa ya development projects inapigwa na corrupt actors. Loose financial practices zetu zinachangia kukua kwa deni la taifa bila ongezeko sahihi la uwezo wa kulilipa. Tunapaswa kuboresha sana accountability systems zetu. Vinginevyo, tutakuja kukumbukwa kwa kuvibebesha vizazi vijavyo mzigo usiokuwa na tija!
 
Wenzio wanakopa kufanya mambo makubwa wewe unakopa kulipa mishahara,poshi,kununua unga,dawa na kondom,,wapi na wapi?
 
Wenzio wanakopa kufanya mambo makubwa wewe unakopa kulipa mishahara,poshi,kununua unga,dawa na kondom,,wapi na wapi?
 
Wenzio wanakopa kufanya mambo makubwa wewe unakopa kulipa mishahara,poshi,kununua unga,dawa na kondom,,wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…