Highest government debt as share of GDP, 2020

Wenzio wanakopa kufanya mambo makubwa wewe unakopa kulipa mishahara,poshi,kununua unga,dawa na kondom,,wapi na wapi?
Chanzo cha hii conclusion yako ni nini? Au ni kuropoka kama kuropoka tu na stories zenu za kwenye kahawa
 
Marufuku kujilinganisha na mataifa makubwa.
Unajilinganishaje na Japan? USA? UK, FR, GR?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…