HIGHSCHOOL ALBUM! album inayoenda kumtengenezea Harmonize fanbase nje ya Tanzania. Kwa bongo kamaliza .

HIGHSCHOOL ALBUM! album inayoenda kumtengenezea Harmonize fanbase nje ya Tanzania. Kwa bongo kamaliza .

Ile ngoma kali sana sana.
Yani toka alipoanza fanya ngoma na S2kizzy nilikuwa namwelewa sana. Hata ile aliyoimba na Kaligraph Jones - wanona haya ni one of my favorite.
Sema kwasasa sioni kama anasonga.

Hiyo pia naipata jamaa mkar sana angekaa tu kama mwanzo alivyokuwa
 
Diamond inabidi apewe tu heshima yake, harmonize far from kondegang, nadhan agekua na nafanikio makubwa sana km angebak WCB, kutoka kwa kk e WCB kumemchelewesha kidgo na hata km status iyo album czanbkm itafny vyema km ambavy ingefny vyema km ingetolewa akiwa WCB

Naomba kuwasilisha

Huu uoga ndo maana hutaki kuhama hapo kwa shemeji yako!
 
Back
Top Bottom