Highway 10, Saudi Arabia, ndio barabara ndefu bila Kona Duniani. Unaenda Kilometa 240 straight! RIP in Advance!

Kati ya jangwa watu wameweka rangi nyeusi chini, kweli wenzetu wako mbali sana.
 
Tz hawafai kabisa kuna barabara wamejenga kwa mtindo huo pale mbeya Iwambi na hara kilometa 3 hazifiki lakin wameamua kuanza kuweka matuta yaani madereva wakifika pale utazani ni mashindano
 
Jamaa wako vizuri sana!
Hata Tz ingekuwa na hela za kumwaga bado jiografia ya nchi hairuhusu. There is nowhere in Tz ambapo utaenda straight 240km usikutane na bonde, mlima, msitu or any other obstacle. Konakona ni lazima sawasawa na tabia zetu!
 
Nasikia na Namibia napo kuna sehem barabara imenyoooka kama rula
Sehemu kubwa ya Namibia ni jangwa (Namib desert extension of the Kalahari). So, kupata mamia ya kilometres straight is possible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…