Highway 10, Saudi Arabia, ndio barabara ndefu bila Kona Duniani. Unaenda Kilometa 240 straight! RIP in Advance!

Sawa sawa bara bara ikiwa hivyo ajali ni chache sana.
Ni kinyume chake mkuu, kuna faida ya barabara kuwa na vijikona kona kidogo.Hiyo barabara kujisahau na kusinzia, ni dakika sifuri tu.
Barabara ikiwa na vijikona kona, hata alertness inakuwepo, huwezi kuwa sluggish na careless mpaka
 
Kuna hii Abu Dhabi to Dubai, Sheikh Zayed Road
140km
Max speed 220km/h
Kuna lanes za 80, 120, 180 na above 200
Petrol heads tunabomoa hizo 140 ndani ya dk 40
Merc GLC 200
Kukiwa na ukungu kikilika hapo pile up ya gari siyo chini ya 20
Your browser is not able to display this video.
 
Ni kinyume chake mkuu, kuna faida ya barabara kuwa na vijikona kona kidogo.Hiyo barabara kujisahau na kusinzia, ni dakika sifuri tu.
Barabara ikiwa na vijikona kona, hata alertness inakuwepo, huwezi kuwa sluggish na careless mpaka
Bara bara zenye kona zinasababisha ajali kwa magari kutaka kuyapita sehemu isiyo sahihi..
Bara bara ili kumfanya dereva awe active unakuta wanaweka zege kwa kilomita kadhaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…