Zogoo da khama JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 631 Reaction score 592 Oct 12, 2024 #1 Wadau habarini za majukumu? Jana nilikata tiketi ya bus toka mkoani kuja Dar es Salaam kitu nilichokutana nacho ni tozo ya 0.5% ya LATRA hii ikoje? Imetamkwa lini? Je si kutuongezea mzigo kwenye nauli
Wadau habarini za majukumu? Jana nilikata tiketi ya bus toka mkoani kuja Dar es Salaam kitu nilichokutana nacho ni tozo ya 0.5% ya LATRA hii ikoje? Imetamkwa lini? Je si kutuongezea mzigo kwenye nauli