Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

ha ha ha angalia isije kubabuka au wakati unapush ikutane na kiwembe....
πŸ˜’πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hiyo alternative nilikuwa nakupa wewe mkuu Niko na mamiloo Moja kubwa kubwa hivi ...huwa inataka kila siku Hadi Kuna Muda naikwepa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijawahi nyimwa papunenga .

Alafu naomba uniache mkuu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜’πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hiyo alternative nilikuwa nakupa wewe mkuu Niko na mamiloo Moja kubwa kubwa hivi ...huwa inataka kila siku Hadi Kuna Muda naikwepa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijawahi nyimwa papunenga .

Alafu naomba uniache mkuu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utupigie pasi huku, tuokoe jahazi mkuu
 
Wanaume wengi wamekuwa wahanga wa kunyimwa tendo kutoka kwa wapenzi wao. Imekuwa ikitumiwa kama silaha na wapenzi wao ili kufanikisha malengo yao. Mfano labda mmekosana au hukutekeleza jambo fulani, basi mwenzako atakuwekea ngumu kwenye kupata tendo. Na hii upelekea wanaume wengine kukimbilia kwenye ulevi na kutafuta michepuko ili aweze kujistiri. Inabidi tutambue lile tendo kwa mwanaume ni 'basic needs', wadada muamke msipokuwa makini mtavunja uhusiano wenu kwa mikono yenu wenyewe.

Sijasoma maudhui, ila adhabu itaisha endapo tu..... Utakua na miti mingi ya matunda
 
Mume wangu alininyima unyumba mwaka 2017 kisa alikua na pesa nyingi za kustaafu,Siku anani kumbuka na mimi nimesha msahau,mpaka leo ananishutum kua nilihama chumba,wakati mii nilivyo ona sipewi papuchi nilisogea nilikubali tuu matokeo
Kwa sasa humpatii?
 
Adhabu itaisha pale wanaume wanaowageuza wanaume wenzao kuwa wanawake watapoacha hiyo tabia.

Yaani ikifika mahala kila mwenye miguu mitatu ni mwanaume rijali na thabiti, basi mtapata mambo motomoto wakati wowote ule mtapotaka kama wapemba vile.

K’ Matata.

Sasahivi wanawake wamefungua madangulo wanayaita massage yaani huko balaa.
Nilianza kukemea nilipofika kwenye hizo ofisi
 
Back
Top Bottom