Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

Kwa hiyo mnafanya mkiwa mmenuna?
Mnazima taa tu kidume akianza kupapasa papuchi we achia miguu achomeke zake, hio show inaitwa silent mode! Ukuni ukikukolea utacheka mwenyewe mbele ya safari.

Halafu nyi hamjafundwa. Maswala ya vinyongo hayatakiwi kwenye ndoa hasa muda wa kulala hakikisheni tofauti zenu mmeziacha kabla hamjapanda kitandani. Sindivyo inatakiwa lakini?
 
Hiyo aya ya pili yes, ndivyo inavyotakiwa. Kwa hiyo kama mmekosana badala ya kukimbilia kuomba mzigo tafuta amani kwanza na mwenzio
 
Yani niowe mwanamke alaf aninyime utam ase? Anataka anirudishe kwenye utumwa wa nyeto? Mimi nitamwambia kesho jiandae uende kwenu ukasalimie had siku nitakayo kuita tena maana hujui majukum yako
 
Hiyo aya ya pili yes, ndivyo inavyotakiwa. Kwa hiyo kama mmekosana badala ya kukimbilia kuomba mzigo tafuta amani kwanza na mwenzio
Mwanamke mwenye kisirani hawezi kukupa hio amani wala kumshawishi akupe amani ni ngumu. Wengine huo ugomvi wenyewe lengo linakuwaga ili hamu iishe akunyime tunda.
 
Mwanamke mwenye kisirani hawezi kukupa hio amani wala kumshawishi akupe amani ni ngumu. Wengine huo ugomvi wenyewe lengo linakuwaga ili hamu iishe akunyime tunda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi siko hapa kumuongelea mwanamke mwenye kisirani, namuongelea mwanamke wa kawaida aliye na machungu ya kukosewa
 
Hakuna mwanamke wa kawaida bali kuna wanawake aina mbili:
1.Understanding
2.Non-Understanding

Kundi la kwanza (Understanding) sifa zao:
-Open minded, huwa wako real to themselves and their patners

-Hawapendi makelele/malumbano.

-Husikiliza zaidi kuliko kuongea

-Wepesi wa kujishusha inapobidi ili kusawazisha mambo.

-Wako positive and very supportive in different situations..humbleness!

-Hawana calibre ya ujuaji.

-Mara nyingi hupenda kupata suluhu ya matatizo upesi kabla mambo hayajawa mengi.

Kundi la pili hawa (Non-Understanding):
-Closed minded, hawawezi kuelezea hisia zao ila wanataka wewe ujue anachotaka as if we ni malaika.

-Argument oriented, jambo dogo litakuzwa ilimradi muanze kuparuana tu...ukikasirika basi hapo moyo wake unakuwa baridi kwamba kakukomesha.

-Wajuaji, huwezi mshauri kitu maana yeye anajua zaidi...kumbe kasikia kwa shoga yake flani huko anakomalia anachotaka yeye ndio kiwe. Ukimkatalia ukafanya lako ujue nyumba haitakalika.

-Attention seeking, kususa ni silaha yao kubwa hawa viumbe wa kundi hili. Atakunyima unyumba, ataacha kukufungulia geti, atakuchunia ili tu akukomeshe na raha yake aone mwisho wewe ndio umejipendekeza.

-Ulalamishi mwingi na masimango, KE hawa hupenda kuongea sana, atalalamika kuhusu hiki, mara kile mara mbona hauko kama fulani.

- Hawapendi kuwa responsible katika situations, Usiombe kufanya plan na mwenza wa kundi hili halafu ishu ikabuma. Lazma atatafuta namna ya kuonesha kwamba wewe ndio umesababisha ishu ifeli ilimradi tu akusimange na kukuangushia jumba bovu. Hata kama wazo alitoa yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekuelewa, sasa hapa tunamuongelea huyo wa kwanza. Nobody is perfect, mtu hata kama ni understanding haimaanishi kuwa huwa hakosei au hakwaziki. Hivi kwa mfano let's say nimekutana na mazingira yanaoonesha una mchepuko na wewe badala ya kunipa maelezo nielewe unaishia kufoka na makofi juu, halafu unategemea nikifika chumbani nikupe kiroho safi...acha tu niwe non understanding
 
Mazingira ya mchepuko ni yapi sasa. Mie sichepukagi mbona 😎!!!
Well maelezo ni muhimu hata ikibidi siasa za majitak kidogo zitahusika😆😆😆
 
Mazingira ya mchepuko ni yapi sasa. Mie sichepukagi mbona [emoji41]!!!
Well maelezo ni muhimu hata ikibidi siasa za majitak kidogo zitahusika[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] siasa za majitaka hazikubaliki. Unachepuka bwana umesahau juzi ile mchepuko wako alipiga simu wakati uko kuoga
 
Back
Top Bottom