Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

Mume wako kakunyima papuchi? [emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Maisha hayaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Jamaaa haelewekiiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui kajisahau kama yeye ni mwanamke
 
Labda anazo mbili
 
[emoji115][emoji115][emoji115]
Haa ha ha...Alidhani papuchi ni dyudy...![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna siku mzee flani alisema eti kuna wanaume wanafanya mapenzi na wanawake zao kabla ya kuwaandaa vizuri unakuta mwanaume mkavu hata hajatoa maji[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naamini amejisahau au haelewi maana ya papuchi ndio maana akaandika vile!
 
Jamaaa haelewekiiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui kajisahau kama yeye ni mwanamke
Hujawahi kosea au kuto kujua kitu?basi wewe ni malaika hukoseagi...alafu mimi ni mwanamke😃😃😃😃😃sii jamaa!
 
Dawa yake timiza majukumu yote ya nyumbani, chakula chake usile alichopika, wewe kula juu kwa juu huko.
Wala usimuombe papuchi pia, wivu utamshika ata jirudi.
 
Kama kuna mwanamke bado anaamini kumnyima mumewe wa ndoa papuchi ndio kumkomoa au adhabu huyo hajitambui kabisa na ajue kabisa anajitengenezea bomu ambalo litakuja kumlipukia halafu akose mtu wa kumwokoa. Mwanaume atajifanya bwege tu akifika nyumbani lakini huko alikotoka anajua ameshafanya nini. Kondomu za kawaida ni TZS 2,500 - 5,000, chumba cha "self" cha gesti ya kawaida ni TZS 20,000 - 40,000 na mademu wanaojiuza huko mitaani kwa sasa ndio hawana bei kabisa yaani unaweza anzia hata TZS 10,000 na kuendelea kutegemea unataka kahaba wa daraja gani.

Na wanawake wengi huwa huwafahamu kuwa mwanaume akiwa na ugwadu wa kugegeda akili huwa zinahama kabisa. Kwa hiyo wewe mwanamke unayefikiri kumnyima mumeo tunda ndio adhabu omba sana huyo mumeo asinogewe huko kwa makahaba maana utabaki na jina tu kuwa "alikuwa" mumeo wa ndoa. Na hapo mwanamke akishagundua anasalitiwa na yeye anaanza kutafuta mchepuko ili alipize mwisho wa siku wote mnaanza kuonekana kituko kwenye jamii inayowazunguka. Na msipokuwa waangalifu mnaleteana magonjwa yenye tiba na yasiyo na tiba mwisho mnawaacha watoto wenu yatima. Yote hiyo chanzo ni adhabu au kumkomoa mumeo kwa kumnyima papuchi halafu adhabu yenyewe sio endelevu eti mkipatana baada ya muda fulani unaanza tena kumpa papuchi wakati huo unaweza kuta mambo yameshaanza kuharibika kwa mwenzako kuanza mahusiano ambayo sio salama nje ya hiyo ndoa yenu halafu kakutana na fundi wa mapenzi zaidi yako.
 
Back
Top Bottom