tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hivi mwanaume unanyimwaje gegedo kwa mke wako labda awe na sababu nzito,yani mahari yake walikula 3m bado gharama kibao.Wanaume wengi wamekuwa wahanga wa kunyimwa tendo kutoka kwa wapenzi wao. Imekuwa ikitumiwa kama silaha na wapenzi wao ili kufanikisha malengo yao. Mfano labda mmekosana au hukutekeleza jambo fulani, basi mwenzako atakuwekea ngumu kwenye kupata tendo.
Na hii upelekea wanaume wengine kukimbilia kwenye ulevi na kutafuta michepuko ili aweze kujistiri. Inabidi tutambue lile tendo kwa mwanaume ni 'basic needs', wadada muamke msipokuwa makini mtavunja uhusiano wenu kwa mikono yenu wenyewe.
Ujinga huo kwangu haupo nakupiga talaka yako fasta navuta goma jipya huwa sina roho ya kuvumilia nyege