Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

ha ha ha angalia isije kubabuka au wakati unapush ikutane na kiwembe....
πŸ˜’πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hiyo alternative nilikuwa nakupa wewe mkuu Niko na mamiloo Moja kubwa kubwa hivi ...huwa inataka kila siku Hadi Kuna Muda naikwepa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijawahi nyimwa papunenga .

Alafu naomba uniache mkuu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utupigie pasi huku, tuokoe jahazi mkuu
 
Sijasoma maudhui, ila adhabu itaisha endapo tu..... Utakua na miti mingi ya matunda
 
Mume wangu alininyima unyumba mwaka 2017 kisa alikua na pesa nyingi za kustaafu,Siku anani kumbuka na mimi nimesha msahau,mpaka leo ananishutum kua nilihama chumba,wakati mii nilivyo ona sipewi papuchi nilisogea nilikubali tuu matokeo
Kwa sasa humpatii?
 

Sasahivi wanawake wamefungua madangulo wanayaita massage yaani huko balaa.
Nilianza kukemea nilipofika kwenye hizo ofisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…