Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hapana,mii sii mrembo tena ni mama na wajukuu!
Hongera sana, una kauli nzuri, Mungu akujaalie uendelee vivyo hivyo.[emoji106]
 

Nasikia wengi mnataka hilo tena kwa kulazimisha
 
Mi mke wangu kabeba mimba mwezi wa 12 mwaka jana, mwezi wa 2 nikapigwa stop mpaka leo, nikajichanganya mtaani. Saiz kuna mwanamke mwingine ana mimba ya miezi 3. Sitaki ujinga kabisa. Amejifungua jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…