Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

Hii adhabu ya kunyimwa tunda itaisha lini?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wanaume wengi wamekuwa wahanga wa kunyimwa tendo kutoka kwa wapenzi wao. Imekuwa ikitumiwa kama silaha na wapenzi wao ili kufanikisha malengo yao. Mfano labda mmekosana au hukutekeleza jambo fulani, basi mwenzako atakuwekea ngumu kwenye kupata tendo.

Na hii upelekea wanaume wengine kukimbilia kwenye ulevi na kutafuta michepuko ili aweze kujistiri. Inabidi tutambue lile tendo kwa mwanaume ni 'basic needs', wadada muamke msipokuwa makini mtavunja uhusiano wenu kwa mikono yenu wenyewe.

Adhabu itaisha pale wanaume wanaowageuza wanaume wenzao kuwa wanawake watapoacha hiyo tabia.

Yaani ikifika mahala kila mwenye miguu mitatu ni mwanaume rijali na thabiti, basi mtapata mambo motomoto wakati wowote ule mtapotaka kama wapemba vile.

K’ Matata.
 
Wale walishalaanika kutokana na kizazi walipotoka
 
Hao wanawake wakuninyima Tunda mbona sikutani nao mimi eti?

yani hasira za nnje ya uwanja azilete ndani ya uwanja,weee heee hiii hooo huuuu....
Ipo siku utakutana nao mkuu
 
Back
Top Bottom