The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.
Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?
Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya CCM inajenga majengo ya kuabudia?