Hii ahadi ya Rais Samia kujenga msikiti Chato imekaaje?

Hii ahadi ya Rais Samia kujenga msikiti Chato imekaaje?

Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.

Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?

Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya CCM inajenga majengo ya kuabudia?
Marehemu JPM alijenga msikiti Dodoma tena kwa kuchangisha pesa kanisani, suala lililowaudhi sana maaskofu nchini. Sidhani kama hilo suala ulilizungumzia.
 
Ndiyo ipo kwenye ilani ya CCM ya uchaguzi na tena kujenga msikiti cyo jambo baya kwa ajili ya watu kuabudu.Ulitaka aahidi kujenga kilabu cha pombe ?
Kwenye vilabu vya pombe si ndiko wanakokusanya kodi,ilifaa ajenge vilabu vya pombe sio nyumba za ibada.
 
Unganisheni Dot, Taasisi Hiyo Ilipewa Kiwanja Pale Mwembeyanga Jirani Na Al~Hikma Secondary
 
Umemjibu vizuri sana. Serikali haimini mambo ya imani. Ila inashirikiana na taasisi za dini katika maendeleo na kusaidia jamii. Mbona hushangai hizo hizo dini zimejenga vyuo na hosptali kama bugando na kcmc ambapo hata madaktari wa serikali wameajiliwa?
Huoni huko vyuoni na hospital watanzania wa dini zote wanapata huduma,umewahi sikia ruzuku toka serikalini ikaenda kujenga seminary(rejea mfumo wa seminary za kikatoliki)
 
Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.

Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?

Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya CCM inajenga majengo ya kuabudia?
yawezekana kwa hela zake, huwezi mzuia maana ile ni nyumba ya kuabudia.. ila kama ni za umma hapana si matumizi mazuri ya pesa zetu.
 
Back
Top Bottom