The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ndiyo ipo kwenye ilani ya CCM ya uchaguzi na tena kujenga msikiti cyo jambo baya kwa ajili ya watu kuabudu.Ulitaka aahidi kujenga kilabu cha pombe ?Nimemsikia mheshimiwa rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.
Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?
Na kama ni utekelezaji0 wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya ccm inajenga majengo ya kuabudia?
Kwahiyo mkuu hujui Vilabu vya pombe imekuwa sehemu salama kuliko hata majengo ya kidini?Ndiyo ipo kwenye ilani ya CCM ya uchaguzi na tena kujenga msikiti cyo jambo baya kwa ajili ya watu kuabudu.Ulitaka aahidi kujenga kilabu cha pombe ?
UpuuziKwahiyo mkuu hujui Vilabu vya pombe imekuwa sehemu salama kuliko hata majengo ya kidini?
Masheikh na Mapadri wanalawiti watoto kila uchao.
Umesikia au kuona wapi mtoto kalawitiwa kwenye vilabu vya pombe?
Kazi kweli KweliNimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.
Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?
Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya CCM inajenga majengo ya kuabudia?
Waache tu wajengewe! Maana hakuna namna.Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.
Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?
Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya CCM inajenga majengo ya kuabudia?
Hivyo hivyo ilivyokaa wewe unaona imekaaje kwani?Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.
Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?
Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya CCM inajenga majengo ya kuabudia?
Mijitu mitaahi.ra kabisa hii..Wabongo nowdays mmebadilika Sana mnawaza udini na ukabila tu!!
[emoji38][emoji38][emoji38]Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.
Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?
Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya CCM inajenga majengo ya kuabudia?
Umemjibu vizuri sana. Serikali haimini mambo ya imani. Ila inashirikiana na taasisi za dini katika maendeleo na kusaidia jamii. Mbona hushangai hizo hizo dini zimejenga vyuo na hosptali kama bugando na kcmc ambapo hata madaktari wa serikali wameajiliwa?Ndiyo ipo kwenye ilani ya CCM ya uchaguzi na tena kujenga msikiti cyo jambo baya kwa ajili ya watu kuabudu.Ulitaka aahidi kujenga kilabu cha pombe ?
Uwe unasikiliza vizuri ili usiwe unapata uchochoro wa kutaka kumjadili Rais katk mambo yasiyokuwa na maana.Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.
Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?
Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya CCM inajenga majengo ya kuabudia?
Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti.
Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!?
Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana siku hizi serikali ya CCM inajenga majengo ya kuabudia?
Magufuli aliwahi kuchangisha pesa za ujenzi wa msikiti kanisani, hizi za Samia kujenga msikiti zitatoka wapi?Uwe unasikiliza vizuri ili usiwe unapata uchochoro wa kutaka kumjadili Rais katk mambo yasiyokuwa na maana.
Hiyo ahadi ilitolewa na Hayati Dk. Magufuli, akishirikiana na Taasisi ya Alhekeema. Rais kasema ahadi zote za Dk. Magufuli, ikiwemo hiyo ya ujenzi wa msikiti zitatekelezwa. Sasa wewe kwanza hukusikiliza vizuri, pili, unaibuka na jambo moja tu la msikiti ahadi nyingine hukuzisikia. Tuache mijadala yenye herufu ya udini.
Jf ni sehemu ya watu walio na kiu ya kulalamika. Utatafutwa upenyo mtu alalamike hata kwa kutwist ukweli. Kama anabisha ulichoandika aweke clip ya ahadi ya msikiti aumbukeUwe unasikiliza vizuri ili usiwe unapata uchochoro wa kutaka kumjadili Rais katk mambo yasiyokuwa na maana.
Hiyo ahadi ilitolewa na Hayati Dk. Magufuli, akishirikiana na Taasisi ya Alhekeema. Rais kasema ahadi zote za Dk. Magufuli, ikiwemo hiyo ya ujenzi wa msikiti zitatekelezwa. Sasa wewe kwanza hukusikiliza vizuri, pili, unaibuka na jambo moja tu la msikiti ahadi nyingine hukuzisikia. Tuache mijadala yenye herufu ya udini.
Sawa kabisa! Je Magufuli aliahidi kwa kutumia fedha za umma au kwa mshahara wake?Uwe unasikiliza vizuri ili usiwe unapata uchochoro wa kutaka kumjadili Rais katk mambo yasiyokuwa na maana.
Hiyo ahadi ilitolewa na Hayati Dk. Magufuli, akishirikiana na Taasisi ya Alhekeema. Rais kasema ahadi zote za Dk. Magufuli, ikiwemo hiyo ya ujenzi wa msikiti zitatekelezwa. Sasa wewe kwanza hukusikiliza vizuri, pili, unaibuka na jambo moja tu la msikiti ahadi nyingine hukuzisikia. Tuache mijadala yenye herufu ya udini.
Hapa zinajadiliwa hoja na siyo viroja kama vyako!Jf ni sehemu ya watu walio na kiu ya kulalamika. Utatafutwa upenyo mtu alalamike hata kwa kutwist ukweli. Kama anabisha ulichoandika aweke clip ya ahadi ya msikiti aumbuke