Hii ahadi ya Rais Samia kujenga msikiti Chato imekaaje?

Marehemu JPM alijenga msikiti Dodoma tena kwa kuchangisha pesa kanisani, suala lililowaudhi sana maaskofu nchini. Sidhani kama hilo suala ulilizungumzia.
 
Ndiyo ipo kwenye ilani ya CCM ya uchaguzi na tena kujenga msikiti cyo jambo baya kwa ajili ya watu kuabudu.Ulitaka aahidi kujenga kilabu cha pombe ?
Kwenye vilabu vya pombe si ndiko wanakokusanya kodi,ilifaa ajenge vilabu vya pombe sio nyumba za ibada.
 
Unganisheni Dot, Taasisi Hiyo Ilipewa Kiwanja Pale Mwembeyanga Jirani Na Al~Hikma Secondary
 
Huoni huko vyuoni na hospital watanzania wa dini zote wanapata huduma,umewahi sikia ruzuku toka serikalini ikaenda kujenga seminary(rejea mfumo wa seminary za kikatoliki)
 
yawezekana kwa hela zake, huwezi mzuia maana ile ni nyumba ya kuabudia.. ila kama ni za umma hapana si matumizi mazuri ya pesa zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…