Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu mgoja kesho mapema.......
Napanga kuomba msamaha, hapa hadharani.
Naona aibu, nili/me fadhaika, heshima yangu ulijikwaa, hatusemi tena, urafiki wetu umeyumba....
Agghhhhh kesho nitamtaja huyu member wa zamani......... Mwenye I'd yenye herufi mbili zenye kushabihiana karibia na herufi inayo toka kwenye ugoko, kuelekea kwenye herufi ya mwisho ilio umbika pembeni ya juu ya mtima upande wa kulia.
[emoji22] [emoji22] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mbaya kwa nani?Bangi mbaya sana. [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Dah..ChiefEbu mgoja kesho mapema.......
Napanga kuomba msamaha, hapa hadharani.
Naona aibu, nili/me fadhaika, heshima yangu ulijikwaa, hatusemi tena, urafiki wetu umeyumba....
Agghhhhh kesho nitamtaja huyu member wa zamani......... Mwenye I'd yenye herufi mbili zenye kushabihiana karibia na herufi inayo toka kwenye ugoko, kuelekea kwenye herufi ya mwisho ilio umbika pembeni ya juu ya mtima upande wa kulia.
[emoji22] [emoji22] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nijipe pole mimi kwa kutoelewa chochote..!!!
hahahhaMkuu unanena kwa lugha au unaupungufu wa viroba mwilin??
Mbn sikuelewiMkuu.....
Kiukweli mimi ni mkongwe sana humu Jf.
Niliwahi kua na I'd yenye mwanzo wa alfu mia mbili na tatu.
Hambayo iliteketezwa baada ya miaka saba baadae.
Baada ta hapo nilizira kwa muda wa miakka kadhaa, kabla ya kufauaya Ushiboy, na ikahiamia Ushimen nilipo lazimishwa kuwakilisha