Hii aibu naiweka wapi....!!

Hii aibu naiweka wapi....!!

Ebu mgoja kesho mapema.......
Napanga kuomba msamaha, hapa hadharani.
Naona aibu, nili/me fadhaika, heshima yangu ulijikwaa, hatusemi tena, urafiki wetu umeyumba....
Agghhhhh kesho nitamtaja huyu member wa zamani......... Mwenye I'd yenye herufi mbili zenye kushabihiana karibia na herufi inayo toka kwenye ugoko, kuelekea kwenye herufi ya mwisho ilio umbika pembeni ya juu ya mtima upande wa kulia.
[emoji22] [emoji22] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Wewe naona kutokuwa na meno kumekuathiri mawazo yako. Weka hata jino bandia upate akili kidogo na ueleweke.
 
Ebu mgoja kesho mapema.......
Napanga kuomba msamaha, hapa hadharani.
Naona aibu, nili/me fadhaika, heshima yangu ulijikwaa, hatusemi tena, urafiki wetu umeyumba....
Agghhhhh kesho nitamtaja huyu member wa zamani......... Mwenye I'd yenye herufi mbili zenye kushabihiana karibia na herufi inayo toka kwenye ugoko, kuelekea kwenye herufi ya mwisho ilio umbika pembeni ya juu ya mtima upande wa kulia.
[emoji22] [emoji22] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Dah..Chief
 
Mkuu.....
Kiukweli mimi ni mkongwe sana humu Jf.
Niliwahi kua na I'd yenye mwanzo wa alfu mia mbili na tatu.
Hambayo iliteketezwa baada ya miaka saba baadae.
Baada ta hapo nilizira kwa muda wa miakka kadhaa, kabla ya kufauaya Ushiboy, na ikahiamia Ushimen nilipo lazimishwa kuwakilisha
Mbn sikuelewi
 
Sasa hata huku nako walioajiriwa sindo hao wanaomfahamu kisa watoto wanakosa ada?
 
Back
Top Bottom