Hii aibu naiweka wapi....!!

Hii aibu naiweka wapi....!!

Ebu mgoja kesho mapema.......
Napanga kuomba msamaha, hapa hadharani.
Naona aibu, nili/me fadhaika, heshima yangu ulijikwaa, hatusemi tena, urafiki wetu umeyumba....
Agghhhhh kesho nitamtaja huyu member wa zamani......... Mwenye I'd yenye herufi mbili zenye kushabihiana karibia na herufi inayo toka kwenye ugoko, kuelekea kwenye herufi ya mwisho ilio umbika pembeni ya juu ya mtima upande wa kulia.
[emoji22] [emoji22] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
What a waste
 
Back
Top Bottom