Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Hakuna anayependa kukutana na ajali , na hakuna shuguli yoyote inayo kosa ajali.
Ajali ni udhaifu wa binadamu katika shuguli zake, hii ipo kiasili maana binadamu sio mkamilifu katika mambo yote ndio maana ya udhaifu .
Kila itokeapo ajali huwa inakua darasa, ubaya wa ajali ni ile kutokujifunza kitu kutokana nayo.
Siku zote tunatahadharishwa sana tunapotumia vyombo vya usafiri haswa magari kwamba mwendo kasi sio salama lakini hatu sijui wala hatujali.
Tuzidi kuchukua tahadhari na kujifunza kwamba ni heri ufike ukiwa umechelewa kuliko kuharakisha kisha usifikie.
Pole kwa wote walio pata kadhia hiyo.