Hii ajali kiboko!

Hii ajali kiboko!

Hakuna anayependa kukutana na ajali , na hakuna shuguli yoyote inayo kosa ajali.
Ajali ni udhaifu wa binadamu katika shuguli zake, hii ipo kiasili maana binadamu sio mkamilifu katika mambo yote ndio maana ya udhaifu .
Kila itokeapo ajali huwa inakua darasa, ubaya wa ajali ni ile kutokujifunza kitu kutokana nayo.

Siku zote tunatahadharishwa sana tunapotumia vyombo vya usafiri haswa magari kwamba mwendo kasi sio salama lakini hatu sijui wala hatujali.

Tuzidi kuchukua tahadhari na kujifunza kwamba ni heri ufike ukiwa umechelewa kuliko kuharakisha kisha usifikie.

Pole kwa wote walio pata kadhia hiyo.
 
Umegundua huyo dereva alikuwa kasi sana, nadhani almost 120 km/h (na njia hatarishi hiyo inaonekana). Pengine hata alikuwa yuko tungi kalewa au anazungumza kwa simu au alikuwa akichati FB/Insta.

That's very serious indeed! Usipokuwa na nidhamu kwenye usukani, ndoto za maisha yako lazima zitakatishwa any moment.
 
Uwezekano mkubwa imetokea usiku hii

au alikuwa 160 gari likamshinda kwenye hiyo kona kali.

au alikuwa ana-overtake hapo akakutana na Volvo imeiva ikabidi avagae kingo.

Kama amepona akatambike!
 
Du ajali hii imenipa ubaridi mkubwa mwilini, pls mtoa mada weka nyama zaidi kwenye uzi, wapi hii imetokea,lini, je kuna walionusurika
Kwa lugha wanayoongea itakuwa imetokea Zambia, kuna kipande kutoka mpika kuelekea serenje kina mashimo makubwa ya kustukiza , kama unakimbia bila hesabu unaweza kulivaa shimo likakutoa barabarani na nahisi ndio kilichomtokea huyo jamaa.
 
Uwezekano mkubwa imetokea usiku hii

au alikuwa 160 gari likamshinda kwenye hiyo kona kali.

au alikuwa ana-overtake hapo akakutana na Volvo imeiva ikabidi avagae kingo.

Kama amepona akatambike!
Usiku ni sawa kabisa , ila mashimo ni chanzo kikuu cha ajali kwa njia hiyo.
 
Sienta wanazipenda sana watu wa Malawi. Kule wanazitumia kubeba abiria kama vile Noah au Probox zinavyotumika huku Tanzania
Namibia gari ya kubeba abiria ni toyota wish,
Nadhani kwa sababu wana barabara nzuri , ila shida yao kubwa ni mwendo , kuna trip tumetoka windhoek hadi skwapop gari ilitembea kwa lisaa dakika arobaini, km310!
 
Kwa lugha wanayoongea itakuwa imetokea Zambia, kuna kipande kutoka mpika kuelekea serenje kina mashimo makubwa ya kustukiza , kama unakimbia bila hesabu unaweza kulivaa shimo likakutoa barabarani na nahisi ndio kilichomtokea huyo jamaa.
Mabwawa ya samaki!
 
Mkuu ni Mpata,hao wajinga kwenye sienta wanapakia abiria 14 dereva wa 15 anakalia tako moja la kushoto maana mbele anakalisha abiria wawili, katikati 5,siti za nyuma 5 na kwenye buti 2 na mizigo. Hata Kasumulu to Karonga wana ujinga huo.
 
Back
Top Bottom