Huyu wa lori kashindwa kukeep distance madhara yake ndiyo hayo.Kuwasababishia wenzake hasara ya mali na muda
View attachment 3702403
Nimependa madreva wa roli kulia-kushoto kama wameambizana mseng* wewe leo tunakubana hapa hapa hakuna kuchomoka.
Malori ni kero kubwa barabarani. Yakifika mlimani au kwenye mwinuko yanatembea mwendo wa kinyonga! Ukisema ulipite uendelee na safari zako, unapigwa mkono na trafiki waliojificha mbele kukuvizia. Hapa kuna mawili; utoe rushwa au uandikiwe faini!Malori yaondolewe yatafutiwe barabara zao yanatembea mwendo wa konokono
Unawaza kama mimi shehe, nikipishana na hiyo midude ndo huwa mawazo yangu hayoMalori yaondolewe yatafutiwe barabara zao yanatembea mwendo wa konokono
Nyie watz hamna akili mostly sio wote!
Serikali ikichukua hatua dhidi ya hawa mbwa kuna wajinga wachache wanatetea,kisa tu utawala wa muislam! Kipindi cha dikteta jiwe Kila hatua aliyokuwa anachukua hata za kuua walikuwa wanapongeza kisa mgalatia mwenzao wa kigango!Kesi sio kuondoa ila ,mwndo wa ndugu zetu wa bus 89kmhr kwa barabara gani mkuu ,unakaa unawaza gari itoke sumbawanga saa 12 jioni iringa ifike saa 4 alfjiri,Gari inakimbia mpaka unaogopa muda ote king'amuz kinalia tujiulze
1.wanawahi wapi?
2.nini wanachowahia huko wanakotaka kuwahi?
3.Bila kwenda mwendo mkubwa hafiki?
Asilimia nyingi barabarani ajali inasababishwa na madereva wa bus, hachukui tahadhari kwa kila ambacho anakifanya mud ote, unamkadiria mtu niovertake ,atatanua akikakataa inakuaje
Wewe ni dereva uliekamilika hiyo ajali ni ya kipuuzi kwa wote hapo hakuna alietaka kuepusha ajali ni ujinga huo huyo wa New force kakosea na wengine wanaona wamkomoe tu madereva wa Bongo kazi ipo..Derva wa bus kapiga hesabu zimegoma na maroli nayo yamegoma kutanua
Wewe Mmalawi hapo points zinasaidia nini hapo wa kwanza kukosea ni huyo wa Bus na hao vima wengine wameshindwa kuepusha ajali kisa kukomoana hata wachukue leseni kwa mazingira ya kusaidiana madereva wenyewe haitasaidia kitu Tanzania madereva wanakomoana sana ndio maana kunakua na ajali za kijinga jinga tu.Nyie watz hamna akili mostly sio wote!
Serikali iliweka sheria kali kwa hawa mbwa ,ya kukatwa point na mwisho wa siku kufungiwa leseni mazima!
Mkaanza kulaumu na kuwatetea hawa madereva washenzi.....sasa mpuuzi kama huyo si anastahili kabisa kuwekwa jela maisha..
Sasa bus litembee speed ya 30km/h kutoka dar hadi sumbawanga litafika lini? Kwani barabarani hakuna maeneo dereva anaruhusiwa kutembea zaidi ya speed 50?Kesi sio kuondoa ila ,mwndo wa ndugu zetu wa bus 89kmhr kwa barabara gani mkuu ,unakaa unawaza gari itoke sumbawanga saa 12 jioni iringa ifike saa 4 alfjiri,Gari inakimbia mpaka unaogopa muda ote king'amuz kinalia tujiulze
1.wanawahi wapi?
2.nini wanachowahia huko wanakotaka kuwahi?
3.Bila kwenda mwendo mkubwa hafiki?
Asilimia nyingi barabarani ajali inasababishwa na madereva wa bus, hachukui tahadhari kwa kila ambacho anakifanya mud ote, unamkadiria mtu niovertake ,atatanua akikakataa inakuaje
Sasa hapo uislamu na ukiristo unaingiaje mkuu?Serikali ikichukua hatua dhidi ya hawa mbwa kuna wajinga wachache wanatetea,kisa tu utawala wa muislam! Kipindi cha dikteta jiwe Kila hatua aliyokuwa anachukua hata za kuua walikuwa wanapongeza kisa mgalatia mwenzao wa kigango!
Acha mfe mmanina zenu.
Mi dereva wa kawaida wa kike muoga muoga!!!!!Wewe ni dereva uliekamilika hiyo ajali ni ya kipuuzi kwa wote hapo hakuna alietaka kuepusha ajali ni ujinga huo huyo wa New force kakosea na wengine wanaona wamkomoe tu madereva wa Bongo kazi ipo..
Mimi mara nyingi narudi na gari Tanzania ila kuendesha gari kutokea Tunduma mpaka Daslm ni hatari sana kwangu muda mwingi namwita dogo asote nao hao jamaa maana ni wakatili kuliko maelezo sehemu ya kumuachia mtu apite wao wanabana mpaka mtu anaingia mtaroni nikiendesha labda naenda Arusha huku Morogoro road ni balaa sehemu ambazo sio za kupata ajali unaona mtu anasota nje huko katolewa na gari kubwa..Mi dereva wa kawaida wa kike muoga muoga!!!!!
Watanzania hasa madereva ifikie muda wasiwakeane roho mbay huko barabarani na wachukuliane mapungufu wasameheane maana kikuweli barabara nyingi afrika ni mbovu
Malori yaondolewe yatafutiwe barabara zao yanatembea mwendo wa konokono
Hapo uko sahihi maana madereva wa maroli kiukweli wana dharau na roho mbaya mambo ambayo huwa wanafanya barabarani sio poa.Mimi mara nyingi narudi na gari Tanzania ila kuendesha gari kutokea Tunduma mpaka Daslm ni hatari sana kwangu muda mwingi namwita dogo asote nao hao jamaa maana ni wakatili kuliko maelezo sehemu ya kumuachia mtu apite wao wanabana mpaka mtu anaingia mtaroni nikiendesha labda naenda Arusha huku Morogoro road ni balaa sehemu ambazo sio za kupata ajali unaona mtu anasota nje huko katolewa na gari kubwa..
Ndiyo ukaona upite katikati yao bro,yaani yutongi unaigeuza bodaboda?Malori yaondolewe yatafutiwe barabara zao yanatembea mwendo wa konokono
Bidhaa za kichina kuuzwa bei rahisi sana na mikopo rahisi rahisi nako kunachangia hata wamiliki kujikuta wanawapa wendawazimu magari bila kuzingatia viwango vyao vya uelewa wa kulinda mali na roho za watu.Ajali nyingi za mabasi zinasababishwa na upitaji wa magari ya mbele usio salama. Ni kawaida madereva kujaribu kupita hata gari kumi kwa mpigo.
Sasa uende kwa speed 30-40 dar to tunduma utafika lini, hilo bus au treniNdiyo ukaona upite katikati yao bro,yaani yutongi unaigeuza bodaboda?
Umenikumbusha hako ka msemo cha miaka kadhaa iliyopita!.Kasheshe
🤣 lori anatanuaje wakati hakuna pa kutanulia.Derva wa bus kapiga hesabu zimegoma na maroli nayo yamegoma kutanua