Dogo kapetaHabari zenu?
Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo.
Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
Waombaji wote wanaosubiri wanaandikiwa hivyo. Relax subiri majibuHabari zenu?
Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo.
Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
kwani ukisema ni wewe kuna shida mpaka useme ni mtoto wa dada yako?Habari zenu?
Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo.
Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
Ningekua ni mimi mwenyewe nisingeogopa kusema coz hakuna anijuae humu na hata kungekua kuna anijuae bado nisingekua na hofu ya kusema kuwa mimi ndiye mhusika.lakini bahati mbaya sana mimi hatua hii niliipita miaka 8 huko nyuma.kwani ukisema ni wewe kuna shida mpaka useme ni mtoto wa dada yako?
Kuna kosa lolote kisheria na kikatiba kwa mimi kufanya hivyo mkuu?unakua as if mgeni kwa mazingira yetu hapa Tanzania.Dogo kamaliza form six kafaulu wewe unamfanyia application na ku track process nzima
Kwanini asifanye mwenyewe?
Wabongo wajuaji sana ππππNingekua ni mimi mwenyewe nisingeogopa kusema coz hakuna anijuae humu na hata kungekua kuna anijuae bado nisingekua na hofu ya kusema kuwa mimi ndiye mhusika.lakini bahati mbaya sana mimi hatua hii niliipita miaka 8 huko nyuma.