Hii alama inaashiria nini kwenye account ya heslb?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Habari zenu?
Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo.
Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
 
Attachments

  • Screenshot_20220924-032530_Chrome.jpg
    Screenshot_20220924-032530_Chrome.jpg
    25.6 KB · Views: 40
Habari zenu?
Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo.
Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
Dogo kapeta
 
Umeomba mkopo na unaambiwa umepeta.
Unadhani inamaanisha nini
 
Habari zenu?
Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo.
Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
Waombaji wote wanaosubiri wanaandikiwa hivyo. Relax subiri majibu
 
Kwani ukisema ni wewe unapungukiwa nini!? Eti mtoto wa dada! [emoji23][emoji16][emoji28][emoji38]
 
Nilimaliza hiyo hatua ya first degree miaka 8 iliyopita mkuu.
 
Habari zenu?
Nimemfanyia application mtoto wa sister angu,so leo nimeingia kwenye account ya mhusika,nimekuta wamemuwekea hicho kialama chenye nyota nyeupe,ikumbukwe hicho kialama siku za nyuma hakikuwepo.
Je kwa wenye uelewa,hicho kialama kina maana gani?
kwani ukisema ni wewe kuna shida mpaka useme ni mtoto wa dada yako?
 
Dogo kamaliza form six kafaulu wewe unamfanyia application na ku track process nzima

Kwanini asifanye mwenyewe?
 
Ningekua ni mimi mwenyewe nisingeogopa kusema coz hakuna anijuae humu na hata kungekua kuna anijuae bado nisingekua na hofu ya kusema kuwa mimi ndiye mhusika.lakini bahati mbaya sana mimi hatua hii niliipita miaka 8 huko nyuma.
 
Kuna kosa lolote kisheria na kikatiba kwa mimi kufanya hivyo mkuu?unakua as if mgeni kwa mazingira yetu hapa Tanzania.
 
Ningekua ni mimi mwenyewe nisingeogopa kusema coz hakuna anijuae humu na hata kungekua kuna anijuae bado nisingekua na hofu ya kusema kuwa mimi ndiye mhusika.lakini bahati mbaya sana mimi hatua hii niliipita miaka 8 huko nyuma.
Wabongo wajuaji sana 😂😂😆😂
 
Back
Top Bottom