Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

running

New Member
Joined
Aug 17, 2018
Posts
2
Reaction score
2
Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?

20221011_132812.jpg
 
Mpokeaji amefanya setting kuwa ujumbe wowote ukitumwa atauona hata kama mtumaji akifuta, mpokeaji lazima aupate
 
Hiyo Alama NI uki reply kutoka kwenye Status ya MTU au yeye kareply kutoka kwenye Status yako..

Hiyo NI Alama ya Status so ukiona hivyo jua kuna MTU amereply kupitia status yako au wewe umerey kupitia status ya MTU kwenye conversation

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa.
 
Ukweli ni kwamba ujumbe utafutika ndani ya masaa kadhaa, receiver ameset hivyo. Na kama mko na chats za kabla ya hiyo settings utaona znabaki ila zile zenye hiyo alama zitapotea.
Acha kuchanganya mambo hiyo siyo hiyo unayoizungumzia.
 
Back
Top Bottom