Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

Mpokeaji amefanya setting kuwa ujumbe wowote ukitumwa atauona hata kama mtumaji akifuta, mpokeaji lazima aupate
 
Sahihi kabisa.
 
Ukweli ni kwamba ujumbe utafutika ndani ya masaa kadhaa, receiver ameset hivyo. Na kama mko na chats za kabla ya hiyo settings utaona znabaki ila zile zenye hiyo alama zitapotea.
Acha kuchanganya mambo hiyo siyo hiyo unayoizungumzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…