Hii album ya diamond "A boy from tandale" itaathirika vipi kwa kufungiwa hizo nyimbo mbili kabla haijatoka?

Hakuna athari kwenye album yake kwani watu watanunua na kwenda kusikiliza makwao..
Hizo nyimbo mbili zote zimefungiwa kwenye vituo vya tv na radio lakin.
Hat hivyo nyimbo hizo zilisha chuja na watu wana zifahamu.....
Hakuna athari yeyote ile
 
Hakuna athari kwenye album yake kwani watu watanunua na kwenda kusikiliza makwao..
Hizo nyimbo mbili zote zimefungiwa kwenye vituo vya tv na radio lakin.
Hat hivyo nyimbo hizo zilisha chuja na watu wana zifahamu.....
Hakuna athari yeyote ile
Oooh
 
Kosa letu sisi wabongo chanel zetu tunaangalia bila kufata vigezo ni kuanzia umri gani. Hapo tu ndo tunakosea kipindi kinatakiwa kutazamwa na watu 15+, unakuta mzazi kakaa na mtoto wa miaka 12 wanatizama.
Na kuna vipindi vya kutazamwa na watoto lakini unakuta mtu mzima anakodolea macho tena kashikilia remote kabisa
 

Hv zimefungiwa tanzania [emoji1241] tu au kote duniani?mkuu
 
chini chini, chini chini..
bad girl kakalia pini pini
tamu kama nini
iko kwa ulimi.
muvie ya filam niko kila scene.
.
.
.
.
.
.
ni raha ku do naye.
ameshika mkongojo wa mzee.

rayvanny boy
Hii ngoma inapigwa kwenye radio za bongo


"Only"
(feat. Drake, Lil Wayne & Chris Brown)

[Verse 1 - Nicki Minaj:]
Yo, I never fucked Wayne, I never fucked Drake
On my life, man, https://jamii.app/JFUserGuide's sake
If I did I'd Minaj wid' him and let 'em eat my ass like a cupcake
My man full, he just ate, I don't duck nobody but tape
Yea, that was a setup for a punchline on duct tape
Worried 'bout if my butt fake
Worry 'bout ya'll niggas, us straight
These girls are my sons, Jon and Kate plus eight
When I walk in, sit up straight, I don't give a https://jamii.app/JFUserGuide if I was late
Dinner with my man on a G5 is my idea of a up-date
Hut hut one, hut hut two, big titties, big butt too
https://jamii.app/JFUserGuide with them real niggas who don't tell niggas what they up to
Had to show bitches where the top is, ring finger where the rock is
Dez hoes couldn't test me even if they name was pop quiz
Bad bitches who I https://jamii.app/JFUserGuide with', mad bitches we don't https://jamii.app/JFUserGuide with'
I don't https://jamii.app/JFUserGuide with' them chickens unless they last name is cut let
Let it soak in like seasoning
And tell them bitches, blow me, Lance Stephenson

[Hook - Chris Brown:]
Raise every bottle and cup in the sky
Sparks in the air like the fourth of July
Nothing but bad bitches in here tonight
Oh, if you lame and you know it be quiet
Nothing but real niggas only, bad bitches only
Rich niggas only, independent bitches only
Boss niggas only, thick bitches only
I got my real niggas here by my side, only

[Verse 2 - Drake:]
I never fucked Nicki cause she got a man
But when that's over then I'm first in line
And the other day in her Maybach
I thought God damn, this is the perfect time
We had just come from that video
You know LA traffic, how the city slow
She was sitting down on that big butt
But I was still staring at the titties though
Yea, low key or maybe high key
I been peeped that you like me, you know
Who the https://jamii.app/JFUserGuide you really wanna be with besides me?
I mean, it doesn't take much for us to do this shit quietly
I mean, she say I'm obsessed with thick women and I agree
Yea, that's right, I like my girls BBW, yea
Type to wanna suck you dry and then eat some lunch with you
Yeah, so thick that everybody else in the room is so uncomfortable
Ass on Houston Texas, but the face look just like Claire Huxtable
Oh, yea, you the man in the city when the mayor https://jamii.app/JFUserGuide with you
The NBA players https://jamii.app/JFUserGuide with you
The bad ass bitches doing makeup and hair https://jamii.app/JFUserGuide with you
Oh, that's cause I believe in something, I stand for it
And Nicki if you ever try to https://jamii.app/JFUserGuide
Just give me the heads up so I can plan for it
(Pinkprint, aye)

[Hook]

[Verse 3 - Lil' Wayne:]
I never fucked Nic and that's fucked up
If I did https://jamii.app/JFUserGuide she'd be fucked up
Whoever is hittin' ain't hittin' it right
Cause she act like she need dick in her life
But that's another story, I'm no story teller
I piss greatness like goldish yellow
All my goons so overzealous
I'm from Hollygrove, the holy Mecca
Calendar say I got money for days
I squirm and I shake, but I'm stuck in my ways
My girlfriend would beat a bitch up if she waved
They bet not https://jamii.app/JFUserGuide with her surfboard, surfboard
My eyes are so bright, I take cover for shade
Don't have my money? Take mother's instead
You got the hiccups, you swallow the truth
Then I make you burp, boy, street beef like sirloin
I'm talkin' bout running in houses with army guns
So think about your son and daughter rooms
Got two hoes with me, messed up, they got smaller guns
Ain't thinkin' 'bout your son and daughter rooms
This shit is crazy, my nigga
I been praising, my nigga
That money talk, I just rephrase it, my nigga
Blood gang take the B off behavior, my nigga
For reals if you mouth off I blow your face off
I mean pop-pop-pop then I take off, nigga
Now you see me, nigga, now you don't
Like Jamie Foxx acting like Ray Charles
16 in the clip, one in the chamber
17 ward bully with 17 bullets
My story is how I went from poor me
To please pour me a drink and celebrate with me

[Hook]
 
Hakuna athari kwenye album yake kwani watu watanunua na kwenda kusikiliza makwao..
Hizo nyimbo mbili zote zimefungiwa kwenye vituo vya tv na radio lakin.
Hat hivyo nyimbo hizo zilisha chuja na watu wana zifahamu.....
Hakuna athari yeyote ile
utafungiaje kitu kilichosikilizwa mpaka ikachuja au kiki kama kawaida yao na mabosi zao?
 
Kuifungia nyimbo ya wakawaka Sawa, kwani Kuna baadhi ya vipengere wadada wako katika hali ya utupu. Ila nimejaribu kuingalia video ya Hallelujah tena kwa kuirudia Mara kadhaa ila naona haikustahili kufungiwa labda kama wametumia vigezo vingine. Ila pia Basata wawe makini na kazi zao nyimbo zipo nyingi zenye ukakasi hata ukisikiliza tu masikio yanawasha mfano Wowowo, Mwanaume Mashine , Mwache adange.
Wachukue hatua kwa wakati na ni vema pia wakawa shirikishi kwa wahusika .
Kwa mtazamo wangu hatutaweza kulifikia soko la mziki huko duniani kwa sheria hizi wakati sisi tunapiga miziki ya nje isiokuwa na maadili kama vichupi katika video za nje wanavaa sana. Basata inabidi wawe kisasa
 
Inatakiwa hizo nyimbo mbili zichomolewe kabla haijatoka ikitoka na hizo nyimbo huo ni ukiukwaji!
 
Hakuna athari kwenye album yake kwani watu watanunua na kwenda kusikiliza makwao..
Hizo nyimbo mbili zote zimefungiwa kwenye vituo vya tv na radio lakin.
Hat hivyo nyimbo hizo zilisha chuja na watu wana zifahamu.....
Hakuna athari yeyote ile
Athari zipo hizo nyimbo zimefungiwa kwa utovu wa maadili. Hawezi kuuza albamu unless ameziexpunge hizo nyimbo zenye utovu wa maadili
 
Ndiyo tujiulize kama nchi tunataka nini? Nyimbo za nje zinapigwa hata zisizo na maadili, muvi za nje zisizo na maadili zimejaa madukani lakini wakifanya wasanii wa Tanzania wanazuiwa kwanini?
 
Ndiyo tujiulize kama nchi tunataka nini? Nyimbo za nje zinapigwa hata zisizo na maadili, muvi za nje zisizo na maadili zimejaa madukani lakini wakifanya wasanii wa Tanzania wanazuiwa kwanini?
Hilo ndilo tatizo sana kwa mamlaka zetu. Na kwa mantiki hiyo hatutakuwa na wasanii Watakubalika komataifa na kufanya nyimbo zao zipigwe katika TV zao. Mwisho wa siku tutasikia baadhi ya nyimbo zilizofungiwa zimechukua tunzo kimatifa sijui hata hizo tuzo hazitambulika au watanyang'anywa!
 
hizi kiki tu wakishirikiana na mlezi wao maana haingii akilini kufungia kitu kilichosikilizwa mpaka kikachokwa
Hapana si kiki maana kama ni kiki tayari kashafanya vitu vikubwa vingi ambavyo vitampa kiki labd ungesema wanampunguz nguvu ya kufikia lengo lake.
 
Inatakiwa hizo nyimbo mbili zichomolewe kabla haijatoka ikitoka na hizo nyimbo huo ni ukiukwaji!
Hapo ndipo na mm nimejiuliza je kwanini wasiruhu audio alaf video vikapigwa pin kwa mashtaka yao. Maana huku ni kumuangusha msanii si kumjenga. Ameachia hizo nyimbo kwa muda mrefu alaf zimebaki siku chache mtu from now where anakuja kupiga pin yan jitihada zako zote zinakua zimeenda bure
 
Hapana si kiki maana kama ni kiki tayari kashafanya vitu vikubwa vingi ambavyo vitampa kiki labd ungesema wanampunguz nguvu ya kufikia lengo lake.


hapana sio kumpunguza nguvu ni kumwongezea nguvu ili kila mtu atake kununua kwa kuona kuna watu wanataka kumwangusha
 
hapana sio kumpunguza nguvu ni kumwongezea nguvu ili kila mtu atake kununua kwa kuona kuna watu wanataka kumwangusha
Hivi ulishawah fanya project alaf ile umemaliza unatakuripot unaambiwa punguza kitu fulan kisiwepo alaf deadline ipo karibu?
 
Mpaka Sasa imeshaazirika
Watakao inunua hii n wale
Wanaz wenzie tu walioko nae

Wanaenda kuiweka kabatin
Maana nan wakutumia cd

Zama hz mwendo n flash tu
Daah hahahahaaaa mkuu uko nyuma sana yan unafikir mtu akisema album ni CD? Hii ndo aina ya Mashabiki wa Kibakuli
 
Ndiyo tujiulize kama nchi tunataka nini? Nyimbo za nje zinapigwa hata zisizo na maadili, muvi za nje zisizo na maadili zimejaa madukani lakini wakifanya wasanii wa Tanzania wanazuiwa kwanini?
kila nchi ina sheria zake, na ndio maana kwa wenzetu ushoga umeruhusiwa lakin kwetu tunaupinga vikali, kama ingekuwa kinachofanyika nje basi kiruhusiwe kote duniani bila shaka ungeshahudhulia harusi kibao za kaka zako wakiolewa kwenye maukumbi.

Sent from my G630-U20 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…