Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
- Thread starter
- #41
Hivi kibakuli ndio nani?Daah hahahahaaaa mkuu uko nyuma sana yan unafikir mtu akisema album ni CD? Hii ndo aina ya Mashabiki wa Kibakuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kibakuli ndio nani?Daah hahahahaaaa mkuu uko nyuma sana yan unafikir mtu akisema album ni CD? Hii ndo aina ya Mashabiki wa Kibakuli
Oooh ila ameshakula ban means. Zinakuwa kama bonus track tu ila kwa malengo aliyoyaweka yameharibikaAlbum haitaathirika chochote sana sana ndo itafanikiwa zaidi!!
REMEMBER: Mbwembwe za BASATA na TCRA zinaishia kwenye kuzifanya nyimbo husika zisichezwe redioni au kwenye!
Album ya Boy From Tandale haiuzwi ili nyimbo zake zikachezwe redioni au kwenye TV stations!
Hater, haujui chochote, eti kununua cd? Inaweza kuwa haujawahi kununua nyimbo hata iTunes ila kazi kuponda tu.Mpaka Sasa imeshaazirika
Watakao inunua hii n wale
Wanaz wenzie tu walioko nae
Wanaenda kuiweka kabatin
Maana nan wakutumia cd
Zama hz mwendo n flash tu
Malengo gani yameharibika, historia inaonyesha nyimbo zote zilizowahi kufungiwa bongo zilipata wafuasi baada ya kufungiwa, sijajua umetumia kigezo ganiOooh ila ameshakula ban means. Zinakuwa kama bonus track tu ila kwa malengo aliyoyaweka yameharibika
Cha bidhaa kufungiwa ikiwa kwenye hatua ya mwisho... Angali awali sample ilikubalikaMalengo gani yameharibika, historia inaonyesha nyimbo zote zilizowahi kufungiwa bongo zilipata wafuasi baada ya kufungiwa, sijajua umetumia kigezo gani
kila nchi ina sheria zake, na ndio maana kwa wenzetu ushoga umeruhusiwa lakin kwetu tunaupinga vikali, kama ingekuwa kinachofanyika nje basi kiruhusiwe kote duniani bila shaka ungeshahudhulia harusi kibao za kaka zako wakiolewa kwenye maukumbi.
Sent from my G630-U20 using JamiiForums mobile app
of the defn ni kumtambulisha msanii kimatifa,msanii mkubwa lazima awe a album thats itMkuu, Albam maana yake sio CD.
Nimejaribu kuungalia upya wimbo wa haleluya tena mara nne sijui wametumia kigezo gan kuufungia ule wimbo mbona hauna shida yoyotw kuanzia mashairi hadi video.....Habari wakuu,
Naomba kuuliza je diamond platnumz ataathirika vipi na hii album yake baada ya nyimbo mbili kufungiwa?
Au hakuna athari zitakazo jitokeza? Maana tarehe 16/3/2018 ndio inatoka.
Hili tukio sio kumkoa kweli? Maana alikuwa kapanga hivi na wengine wanafanya hivi.
Yani kirahisi twaweza sema what to expect when your expecting. Sidhani kama alikua amejiandaa na hili.
Hapo sasaNimejaribu kuungalia upya wimbo wa haleluya tena mara nne sijui wametumia kigezo gan kuufungia ule wimbo mbona hauna shida yoyotw kuanzia mashairi hadi video.....
Haisaidii kituHivi inasaidia nini kukataza video ya msanii wa Bongo unayodai inadhalilisha na bado m TV station inapiga wimbo za nje zenye maudhui yaleyale unayodai yanadhalilisha!?
Sidhani kuwa na albam ndio kuwa msanii mkubwa na kutambulika kimataifa. Sema huwa wanaweka heshima tu japo bonus trucks wanatoa.one
of the defn ni kumtambulisha msanii kimatifa,msanii mkubwa lazima awe a album thats it
Ilikubalika wapi? Umetumia kipimo gani?Cha bidhaa kufungiwa ikiwa kwenye hatua ya mwisho... Angali awali sample ilikubalika
Ilikubalika wapi? Umetumia kipimo gani?