Hii album ya diamond "A boy from tandale" itaathirika vipi kwa kufungiwa hizo nyimbo mbili kabla haijatoka?

Hii album ya diamond "A boy from tandale" itaathirika vipi kwa kufungiwa hizo nyimbo mbili kabla haijatoka?

Album haitaathirika chochote sana sana ndo itafanikiwa zaidi!!

REMEMBER: Mbwembwe za BASATA na TCRA zinaishia kwenye kuzifanya nyimbo husika zisichezwe redioni au kwenye!

Album ya Boy From Tandale haiuzwi ili nyimbo zake zikachezwe redioni au kwenye TV stations!
 
Oooh ila ameshakula ban means. Zinakuwa kama bonus track tu ila kwa malengo aliyoyaweka yameharibika
 
Mpaka Sasa imeshaazirika
Watakao inunua hii n wale
Wanaz wenzie tu walioko nae

Wanaenda kuiweka kabatin
Maana nan wakutumia cd

Zama hz mwendo n flash tu
Hater, haujui chochote, eti kununua cd? Inaweza kuwa haujawahi kununua nyimbo hata iTunes ila kazi kuponda tu.
 
Oooh ila ameshakula ban means. Zinakuwa kama bonus track tu ila kwa malengo aliyoyaweka yameharibika
Malengo gani yameharibika, historia inaonyesha nyimbo zote zilizowahi kufungiwa bongo zilipata wafuasi baada ya kufungiwa, sijajua umetumia kigezo gani
 
Malengo gani yameharibika, historia inaonyesha nyimbo zote zilizowahi kufungiwa bongo zilipata wafuasi baada ya kufungiwa, sijajua umetumia kigezo gani
Cha bidhaa kufungiwa ikiwa kwenye hatua ya mwisho... Angali awali sample ilikubalika
 
Hivi inasaidia nini kukataza video ya msanii wa Bongo unayodai inadhalilisha na bado m TV station inapiga wimbo za nje zenye maudhui yaleyale unayodai yanadhalilisha!?
kila nchi ina sheria zake, na ndio maana kwa wenzetu ushoga umeruhusiwa lakin kwetu tunaupinga vikali, kama ingekuwa kinachofanyika nje basi kiruhusiwe kote duniani bila shaka ungeshahudhulia harusi kibao za kaka zako wakiolewa kwenye maukumbi.

Sent from my G630-U20 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,
Naomba kuuliza je diamond platnumz ataathirika vipi na hii album yake baada ya nyimbo mbili kufungiwa?

Au hakuna athari zitakazo jitokeza? Maana tarehe 16/3/2018 ndio inatoka.

Hili tukio sio kumkoa kweli? Maana alikuwa kapanga hivi na wengine wanafanya hivi.
Yani kirahisi twaweza sema what to expect when your expecting. Sidhani kama alikua amejiandaa na hili.
Nimejaribu kuungalia upya wimbo wa haleluya tena mara nne sijui wametumia kigezo gan kuufungia ule wimbo mbona hauna shida yoyotw kuanzia mashairi hadi video.....
 
Hivi inasaidia nini kukataza video ya msanii wa Bongo unayodai inadhalilisha na bado m TV station inapiga wimbo za nje zenye maudhui yaleyale unayodai yanadhalilisha!?
Haisaidii kitu
 
one

of the defn ni kumtambulisha msanii kimatifa,msanii mkubwa lazima awe a album thats it
Sidhani kuwa na albam ndio kuwa msanii mkubwa na kutambulika kimataifa. Sema huwa wanaweka heshima tu japo bonus trucks wanatoa.
 
Back
Top Bottom