Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OoohHakuna athari kwenye album yake kwani watu watanunua na kwenda kusikiliza makwao..
Hizo nyimbo mbili zote zimefungiwa kwenye vituo vya tv na radio lakin.
Hat hivyo nyimbo hizo zilisha chuja na watu wana zifahamu.....
Hakuna athari yeyote ile
Na kuna vipindi vya kutazamwa na watoto lakini unakuta mtu mzima anakodolea macho tena kashikilia remote kabisaKosa letu sisi wabongo chanel zetu tunaangalia bila kufata vigezo ni kuanzia umri gani. Hapo tu ndo tunakosea kipindi kinatakiwa kutazamwa na watu 15+, unakuta mzazi kakaa na mtoto wa miaka 12 wanatizama.
Hilo ndio tatizo letu hasa hichi kipindi cha series ndio mbaya zaidiNa kuna vipindi vya kutazamwa na watoto lakini unakuta mtu mzima anakodolea macho tena kashikilia remote kabisa
Habari wakuu,
Naomba kuuliza je diamond platnumz ataathirika vipi na hii album yake baada ya nyimbo mbili kufungiwa?
Au hakuna athari zitakazo jitokeza? Maana tarehe 16/3/2018 ndio inatoka.
Hili tukio sio kumkoa kweli? Maana alikuwa kapanga hivi na wengine wanafanya hivi.
Yani kirahisi twaweza sema what to expect when your expecting. Sidhani kama alikua amejiandaa na hili.
TanzaniaHv zimefungiwa tanzania [emoji1241] tu au kote duniani?mkuu
Hii ngoma inapigwa kwenye radio za bongochini chini, chini chini..
bad girl kakalia pini pini
tamu kama nini
iko kwa ulimi.
muvie ya filam niko kila scene.
.
.
.
.
.
.
ni raha ku do naye.
ameshika mkongojo wa mzee.
rayvanny boy
utafungiaje kitu kilichosikilizwa mpaka ikachuja au kiki kama kawaida yao na mabosi zao?Hakuna athari kwenye album yake kwani watu watanunua na kwenda kusikiliza makwao..
Hizo nyimbo mbili zote zimefungiwa kwenye vituo vya tv na radio lakin.
Hat hivyo nyimbo hizo zilisha chuja na watu wana zifahamu.....
Hakuna athari yeyote ile
hizi kiki tu wakishirikiana na mlezi wao maana haingii akilini kufungia kitu kilichosikilizwa mpaka kikachokwaHallelujah na waka waka
Athari zipo hizo nyimbo zimefungiwa kwa utovu wa maadili. Hawezi kuuza albamu unless ameziexpunge hizo nyimbo zenye utovu wa maadiliHakuna athari kwenye album yake kwani watu watanunua na kwenda kusikiliza makwao..
Hizo nyimbo mbili zote zimefungiwa kwenye vituo vya tv na radio lakin.
Hat hivyo nyimbo hizo zilisha chuja na watu wana zifahamu.....
Hakuna athari yeyote ile
Ndiyo tujiulize kama nchi tunataka nini? Nyimbo za nje zinapigwa hata zisizo na maadili, muvi za nje zisizo na maadili zimejaa madukani lakini wakifanya wasanii wa Tanzania wanazuiwa kwanini?Hii ngoma inapigwa kwenye radio za bongo
"Only"
(feat. Drake, Lil Wayne & Chris Brown)
[Verse 1 - Nicki Minaj:]
Yo, I never fucked Wayne, I never fucked Drake
On my life, man, ****'s sake
If I did I'd Minaj wid' him and let 'em eat my ass like a cupcake
My man full, he just ate, I don't duck nobody but tape
Yea, that was a setup for a punchline on duct tape
Worried 'bout if my butt fake
Worry 'bout ya'll niggas, us straight
These girls are my sons, Jon and Kate plus eight
When I walk in, sit up straight, I don't give a **** if I was late
Dinner with my man on a G5 is my idea of a up-date
Hut hut one, hut hut two, big titties, big butt too
**** with them real niggas who don't tell niggas what they up to
Had to show bitches where the top is, ring finger where the rock is
Dez hoes couldn't test me even if they name was pop quiz
Bad bitches who I **** with', mad bitches we don't **** with'
I don't **** with' them chickens unless they last name is cut let
Let it soak in like seasoning
And tell them bitches, blow me, Lance Stephenson
[Hook - Chris Brown:]
Raise every bottle and cup in the sky
Sparks in the air like the fourth of July
Nothing but bad bitches in here tonight
Oh, if you lame and you know it be quiet
Nothing but real niggas only, bad bitches only
Rich niggas only, independent bitches only
Boss niggas only, thick bitches only
I got my real niggas here by my side, only
[Verse 2 - Drake:]
I never fucked Nicki cause she got a man
But when that's over then I'm first in line
And the other day in her Maybach
I thought God damn, this is the perfect time
We had just come from that video
You know LA traffic, how the city slow
She was sitting down on that big butt
But I was still staring at the titties though
Yea, low key or maybe high key
I been peeped that you like me, you know
Who the **** you really wanna be with besides me?
I mean, it doesn't take much for us to do this shit quietly
I mean, she say I'm obsessed with thick women and I agree
Yea, that's right, I like my girls BBW, yea
Type to wanna suck you dry and then eat some lunch with you
Yeah, so thick that everybody else in the room is so uncomfortable
Ass on Houston Texas, but the face look just like Claire Huxtable
Oh, yea, you the man in the city when the mayor **** with you
The NBA players **** with you
The bad ass bitches doing makeup and hair **** with you
Oh, that's cause I believe in something, I stand for it
And Nicki if you ever try to ****
Just give me the heads up so I can plan for it
(Pinkprint, aye)
[Hook]
[Verse 3 - Lil' Wayne:]
I never fucked Nic and that's fucked up
If I did **** she'd be fucked up
Whoever is hittin' ain't hittin' it right
Cause she act like she need dick in her life
But that's another story, I'm no story teller
I piss greatness like goldish yellow
All my goons so overzealous
I'm from Hollygrove, the holy Mecca
Calendar say I got money for days
I squirm and I shake, but I'm stuck in my ways
My girlfriend would beat a bitch up if she waved
They bet not **** with her surfboard, surfboard
My eyes are so bright, I take cover for shade
Don't have my money? Take mother's instead
You got the hiccups, you swallow the truth
Then I make you burp, boy, street beef like sirloin
I'm talkin' bout running in houses with army guns
So think about your son and daughter rooms
Got two hoes with me, messed up, they got smaller guns
Ain't thinkin' 'bout your son and daughter rooms
This shit is crazy, my nigga
I been praising, my nigga
That money talk, I just rephrase it, my nigga
Blood gang take the B off behavior, my nigga
For reals if you mouth off I blow your face off
I mean pop-pop-pop then I take off, nigga
Now you see me, nigga, now you don't
Like Jamie Foxx acting like Ray Charles
16 in the clip, one in the chamber
17 ward bully with 17 bullets
My story is how I went from poor me
To please pour me a drink and celebrate with me
[Hook]
Hilo ndilo tatizo sana kwa mamlaka zetu. Na kwa mantiki hiyo hatutakuwa na wasanii Watakubalika komataifa na kufanya nyimbo zao zipigwe katika TV zao. Mwisho wa siku tutasikia baadhi ya nyimbo zilizofungiwa zimechukua tunzo kimatifa sijui hata hizo tuzo hazitambulika au watanyang'anywa!Ndiyo tujiulize kama nchi tunataka nini? Nyimbo za nje zinapigwa hata zisizo na maadili, muvi za nje zisizo na maadili zimejaa madukani lakini wakifanya wasanii wa Tanzania wanazuiwa kwanini?
Hapana si kiki maana kama ni kiki tayari kashafanya vitu vikubwa vingi ambavyo vitampa kiki labd ungesema wanampunguz nguvu ya kufikia lengo lake.hizi kiki tu wakishirikiana na mlezi wao maana haingii akilini kufungia kitu kilichosikilizwa mpaka kikachokwa
Hapo ndipo na mm nimejiuliza je kwanini wasiruhu audio alaf video vikapigwa pin kwa mashtaka yao. Maana huku ni kumuangusha msanii si kumjenga. Ameachia hizo nyimbo kwa muda mrefu alaf zimebaki siku chache mtu from now where anakuja kupiga pin yan jitihada zako zote zinakua zimeenda bureInatakiwa hizo nyimbo mbili zichomolewe kabla haijatoka ikitoka na hizo nyimbo huo ni ukiukwaji!
Hapana si kiki maana kama ni kiki tayari kashafanya vitu vikubwa vingi ambavyo vitampa kiki labd ungesema wanampunguz nguvu ya kufikia lengo lake.
Hivi ulishawah fanya project alaf ile umemaliza unatakuripot unaambiwa punguza kitu fulan kisiwepo alaf deadline ipo karibu?hapana sio kumpunguza nguvu ni kumwongezea nguvu ili kila mtu atake kununua kwa kuona kuna watu wanataka kumwangusha
Daah hahahahaaaa mkuu uko nyuma sana yan unafikir mtu akisema album ni CD? Hii ndo aina ya Mashabiki wa KibakuliMpaka Sasa imeshaazirika
Watakao inunua hii n wale
Wanaz wenzie tu walioko nae
Wanaenda kuiweka kabatin
Maana nan wakutumia cd
Zama hz mwendo n flash tu
kila nchi ina sheria zake, na ndio maana kwa wenzetu ushoga umeruhusiwa lakin kwetu tunaupinga vikali, kama ingekuwa kinachofanyika nje basi kiruhusiwe kote duniani bila shaka ungeshahudhulia harusi kibao za kaka zako wakiolewa kwenye maukumbi.Ndiyo tujiulize kama nchi tunataka nini? Nyimbo za nje zinapigwa hata zisizo na maadili, muvi za nje zisizo na maadili zimejaa madukani lakini wakifanya wasanii wa Tanzania wanazuiwa kwanini?