Serikali inapswa kuwa makini sana kama ndio wanasimamia hii App.
Hayo majina ya mito yamekosewa sana. Huo mto uliopewa jina la Karanga sio jina lake halisi na sio mkubwa. Mto unaoitwa karanga ni huo nilioweka alama x na huo ulioko kwenye mshale unaitwa Nsoo.